Demokrasia ina manufaa gani kwa nchi masikini?

Demokrasia ina manufaa gani kwa nchi masikini?

lemaboy

Member
Joined
Sep 15, 2015
Posts
38
Reaction score
5
Inavyoonekana nchi zinazoendelea haziwezi kuwa na mifumo ya kidemokrasia inayoegemea kwenye uongozi bora badala yake ni kiini macho tu ili zipewe misaada na nchi wahisani wakajinufaishe hao wakubwa.
 
Inavyoonekana nchi zinazoendelea haziwezi kuwa na mifumo ya kidemokrasia inayoegemea kwenye uongozi bora badala yake ni kiini macho tu ili zipewe misaada na nchi wahisani wakajinufaishe hao wakubwa.

Pathetic...!!!
 
Inavyoonekana nchi zinazoendelea haziwezi kuwa na mifumo ya kidemokrasia inayoegemea kwenye uongozi bora badala yake ni kiini macho tu ili zipewe misaada na nchi wahisani wakajinufaishe hao wakubwa.
Wewe ungependekeza mfumo gani wenye manufaa kwa nchi maskini ikiwa demokrasia haifai. Waonaje wewe?

Tafadhali, ongeza minofu kwenye hili hoja lako ili ndio upate kueleweka kikamilifu...
 
Swali;Katika historia ni nchi gani iliopata maendeo kwaharaka kwa njia ya Demokrasia?
 
USA, Australia, Botswana.....and much of the western European countries...

Nani kasema British ilikua democracy ile ni totalitarian ni ya kifalme Rome ilikua dictatorship USA Hanna demokras na Greek ilikua ni directly democracy sio hii tunayoambiwa
 
Ukiangalia marekani wana vyama viwili tu na ni nchi kubwa kuliko tz embujiulize gharama za uchaguzi he tungekuwa tunazitumia kwenye huduma zakijamii na tuwe na vyama viwili tu
 
Back
Top Bottom