Recent content by lekumok

  1. lekumok

    JamiiForums Tanzania KERO Kutoka Kibada mpaka Mwasonga ni kilometer 18 tu, nauli inakuaje 1200? Latra mko wapi?

    Kule shamba,wenyeji hawalalamikia ila wew mgeni unalialia
  2. lekumok

    JamiiForums Tanzania Kwani hizo fedha ndogo ndogo unazookoa ziko wapi?

    Ubahili Kazi
  3. lekumok

    JamiiForums Tanzania Bank ABC yauzwa kwa acces bank na kuzua taharuki kwa walioomba mikopo

    Access si iliuzwa na yenyewe kwa selcom
  4. lekumok

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawa Dar Ceramica wanauza vitu bei ya juu mno, ni ubora au brand kubwaa?

    Toa hela bosi acha kulia lia
  5. lekumok

    JamiiForums Tanzania Gypsum board nzuri zaidi kwa sasa

    Tumia double elephant nzuri
  6. lekumok

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani usipigwe na mafundi kwenye ujenzi?

    Yaani unakuta anaeogopa kuibiwa na fundi,iyo ela ya kujengea nayeye katoka kupiga mahahali.hasa hawa wa serikalini.
  7. lekumok

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    Mkuu umezunguka,kumbe lengo lilikua matangazo [emoji16][emoji16]
  8. lekumok

    JamiiForums Tanzania Changamoto baada ya kuweka tiles(vigae)

    Hujamdhulumu fundi kweli
  9. lekumok

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za jf zilizo bora kwangu, zilizowahi kunichekesha sana

    Shusheni link tucheke
  10. lekumok

    JamiiForums Tanzania Introvert wanalalamikiwa kuwa wana kiburi na dharau

    Ni kweli kabisa. Mim kiburi, jeuri,kisirani na sipendi kuchangamana na watu.mda mwingi nashinda ndani tu,sina mazoea watu hapa mtaani. Ni salama then kila mtu na mambo yake. Kingine napenda sana wanyama.mtu akigongwa na gari hua siumii,ila paka au mbwa akigongwa basi hiyo siku kwangu itaisha...
  11. lekumok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mapenzi meengi.mwanzo alianza vizuri sana
Back
Top Bottom