Kila anaejitoa kutusogeza hatua mbele, kesho wanamfanyia maigizo anaondolewa kwa kashfa, eg. El, Kagasheki, Muhongo, Mwakyembe, halafu tunawaacha wakina Malima, Nyalandu, Sofia eti ndo watendaji. Hakika tumelaaniwa.
Hakuna maamuz binafsi hapo uroho wa madaraka tu, na kuogopa kivuli cha Zito asietaka uzezeta wa kutumikishwa kwa maslahi ya watu binafsi badala ya chama
Wote njaa zinawasumbua sio zito pekee yake, umesahau kafulila alitimuliwa na Nccr ya Mbatia, akaenda mahakaman wiki iliyofuata Mbatia akateuliwa mbunge na Rais akasahau ya Kafulila had leo
RAIS MZURI ni yule ambae hakujiandaa, manake JK anatuhakikishia yeye hakuwa sahihi kupitishwa! Maana naona kama kujiandaa ni kasoro, yeye alijiandaa had akataka kuwatoa watu roho
Don't hate forever living, hate the behaviour of ur wife. Pole sana mwanetu, sisi tulio kwenye ndoa tunajua how hard it is, wen ur fellow change. Mbaya zaid kama hofu ya Mungu iko ndan yako kumwacha kirahis inakuwa ngumu sana kwako. Muulize Mungu wap ulipokosea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.