lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,375
Mh tindu lisu ukitaka gari lako lidumu na liwe imara zaidi lazima ulifanyie service.
Chadema tumefanya service kwa kumwaga oil chafu kwenye gari letu kwa nia ya kuanza safari ya kwenda mbali zaidi.
Na sio mara ya kwanza kumwaga oil. Kujenga demokracia sio kazi ndogo wakati mwingine inahitaji maamuzi magumu