Yaani wewe nadhani hata hujasoma kilichoandikwa, au uelewa wako mdogo. Sasa hapo tatizo umeshaambiwa ni processes tu za kutanua utendakazi wa border, lakini akili zako zinakutuma kueneza chuki kati ya Kenya na Tz. What a dump mentality! Hizi ni changamoto za kiutendaji wala hamna Cha bifu za...
Madarakani miaka 43, mwanaye ni mmoja wa makamu wa Rais. Mwanawe kasifia hatua hii akiita ni ya kihistoria. Huu ushenzi wa baadhi ya viongozi wa Africa utaisha tu, siku moja. Equitorial Guinea ni nchi iliyo na utajiri mkubwa zaidi Africa kwa ajili ya madini ya mafuta. Lakini wananchi wake...
Serikali za Africa mashariki Zina Fanya uzembe mkubwa kutowekeza kwenye kilimo Cha ndani. Yaani uwekezaji haswa. Matumizi ya technologia ya kisasa katika kilimo ndio njia pekee ya wananchi wake kupata chakula Cha kutosha. Kilimo tegemezi kilishapitwa na wakati, yaani kusubiria mvua tu ili mazao...
Hii petition ya Raila ni upepo tu, hamna kitu, lakini wafuasi wake ni wepesi wa kuzusha vurugu licha ya kwamba wanajua jamaa kashindwa. Ndio maana marekani wanatoa tahadhari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.