Jana nimesikia mwanancji kuingiza fedha za kigeni nchini ruksa!
Bora tupunguze vipindi vya kufanya uchaguzi iwe kila baada ya miaka miwili ili mateso yasidumu kwa muda mrefu.
Nakumbuka nikiwa shule Tanga mitaa ya Galanosi kuna meneja mmoja wa RRM-/Rural Road Maintenance alikuwa akimzukia mmama moja hivi ambaya hata mimi nilikuwa namkubali ila mshiko ndio sina.
Basi siku hiyo jamaa karudishwa na gari la kazini akajitosa dukani kwa huyo mmama na mimi nikaenda pale...