Recent content by Leila Msangi

  1. Leila Msangi

    JamiiForums Tanzania Lowassa arudia mkutano wa Tunduma baada ya kushindwa kuhutubia tarehe 17 Oktoba, 2015

    asanten wanatunduma kwa kuonyesha mahaba
  2. Leila Msangi

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Kweli Dr Slaa tunaumia sana tunapokuwa hatukuoni ktk vikao vya chama tumia busara yako baba rud tuwe wamoja
  3. Leila Msangi

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Natishwa

    Dr Slaa kubaliana na wenzako muimarishe chama chenu huu ni muda wa kuwa wamoja tumia busara yako Dr
  4. Leila Msangi

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Kweli kabisa adui muombee njaa
  5. Leila Msangi

    JamiiForums Tanzania UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

    kama ni kwrli tunashkuru maana nilishaingiwa na hof ya kusambaratika ukawa yetu mungu ibariki ukawa tujitokezeni kujiandikisha ktk daftar Daar nadhan inaanza kesho
  6. Leila Msangi

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atunukiwa PhD nyingine ya Sheria na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Dah kweli Tanzania zaid ya tuijuavyo hongera zake
  7. Leila Msangi

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Jamani kwan Lowasa naye kavua gamba akavaa gwanda au sijaelewa?
  8. Leila Msangi

    JamiiForums Tanzania Speech ya Magufuli

    Jamani mbona tabu sasa yupi anayefaa kaana huyo nilidhan hana kashfa kbs kumbe naye ana yake tuwe makin watanzania tusiangalie mazowea tusipende kurudia makosa ni bora tufanye kosa jipya kuliko kurudia la zamani
Back
Top Bottom