Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

nimecheka...te te.te..ndani ya ccm hakuna msafi kwa maana angalia pinda, maiga, bilal,..wote kamati ya maadili iliwakuta na makosa ya kimaadili....so bado wapo ccm na ni mifisadi.

Eddo ameachana na mafisadi na kwa sasa ni mtu safi...

unafini ni dhambi na mshahara wale ni mauti,( so wameondoka ccm ni wasafi) kweli shule za kata haizatoa msaada wa kutosha?
 
Njooni tuu nyoe burudani maana mwenye nchi ameshapita tunasubiri tuu 25 oct tumpe kura zetu, Viva Magufuli
 
Kichwa na habari haviendani....baada ya matusi yote MLIYOMTUKANA leo sio fisadi,,,,,, Kazi kweli.
 
Kichwa na habari haviendani....baada ya matusi yote MLIYOMTUKANA leo sio fisadi,,,,,, Kazi kweli.

wanawafanya watanzania ni mazezeta hawana akili kabisa yani jana umesama lowassa fisadi leo unasema chadema imemsimamisha mtu safiii kamanda lowassa! ni aibu kweli chadema ni chama cha kibiashara kutoka kwa watu wale wale wa kaskazini
 
lowassa ni kama mavi hata upulize pafyumu vipi yataendelea kunuka...dr slaa alisema hayo maneno pale mwembe yanga

Mkuu hiyo ni historia keshasahau alichosema eti huyo ndo wanataka aende Ikulu, Ikulu sio kambi ya wahamiaji haramu!Lema nae alitukana sana kule Arumeru tena akaapa mpaka kwa Mungu bila aibu leo hii anamkaribisha kawa msafi teh teh njaa mbaya sana daaaaa jamani njaaaa hivi una nini na hawa binadamu umewafanya wachezewe akili hivi???
 
ha ha ha wamesahau hao matusi wamejaza saver eti leo wanamsafisha daa kweli hawa ccm iwameze kabisa maana hawana faida!

mkuu nakumbuka kipindi cha kukatwa na kukata walinyokuwa wanampaka matusi,na wengine id zao nazikumbuka lakini leo ndo wanatafuta mawe na kumsugua,
haiwezekaniki tena unafiki wao tayari ni mauti yao walichomfanya lowasa leo hii wanatumia tamaa yake ya urais na kumfanya msukule wao imekula kwao,
 
unafini ni dhambi na mshahara wale ni mauti,( so wameondoka ccm ni wasafi) kweli shule za kata haizatoa msaada wa kutosha?

Ndg yangu Mimi ni Miongoni Mwa Waliopata Kusoma Bure toka std one hadi Univesity nadhani Utajua nilisoma shule za

Serikali Kipindi Hicho. Nimesomeshwa Nje bure Nimefaidi sana Mfumo uliokuwa Unawafever wengi Wanyonge. Iam well

informed and civilized individual. Let us concentrate and focus on issues rather than on our education backgrounds.
 
eti wanakuja mwaza?
Kusema nini ?
Wanazani hatuna akili huku?
Wakawadanganye mavuvuzera wa huko kwao sio sisi tunakura samaki na iq yetu iko sawa,


Daaa hao jamaa hawafai kabisa, leo wanasema hiki kesho wanasahau kisa hela hawa wakipewa nchi wanaiuza UJERUMANI!!!
 
Chadema kwenda kumtangazia fisadi lowassa ndani ya mkoa wa mwanza kama mgombea wao hii inaonesha chadema wanajua fika kuwa wananchi wote wa mwanza hawana akili?? ni dharau kubwa sana kwa wana mwanza,waende kumtangazia kilimanjaro au arusha huko kwao
 
mafisadi,majangiri na wachawi wanatengana,bora jambazi sugu lowasa ametubu na kurudi kundini
 
mkuu nakumbuka kipindi cha kukatwa na kukata walinyokuwa wanampaka matusi,na wengine id zao nazikumbuka lakini leo ndo wanatafuta mawe na kumsugua,
haiwezekaniki tena unafiki wao tayari ni mauti yao walichomfanya lowasa leo hii wanatumia tamaa yake ya urais na kumfanya msukule wao imekula kwao,

Ha ha ha ha ni shida kabisa wengine wamenunua msasa na tupa awe msafi daaa CDM ndo imegeuzwa mdebwedo kiivyo! MAYUDA ESKARIOTE yamekutana aisee hayafai kupewa nchiyasugue benchi milele haya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom