Binafsi nashindwa kuelewa kwanini mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo kila akipanda jukwaani ni CCM mpaka anamaliza hotuba yake.
Anatumia muda wote kuiongelea CCM na serikali yake. Tumia jukwaa kutuambia unaenda kutufanyia nini Watanzania ambacho serikali zote za CCM zilishindwa...
Nyumba za kupanga zina mengi saana hasa ukiwa na familia. Jitahidi muyajenge na mkeo wanawake ukiwa kwenye shida watakupigia mayowe usijue la kushika.
Wote ndivyo walivyo usijidanganye ukaenda kutafuta wa afadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.