Recent content by legendary pekee

  1. L

    Msaada wa salary scale za bandari

    yap nataka kujua TPGS 5 na 6 ni kiasi gan
  2. L

    Msaada wa salary scale za bandari

    Msaada nahitaji kujua salary scale za degree holder pale bandarini
  3. L

    Fumbo la maisha: Waziri Ummy meza kiburi, ombeni msaada kwa Mwele Malecela, WHO.

    yan mzungu kwenye taasisi kubwa waache kueka mtu compitent waweke tu mtu ili kutuma ujumbe usijidanganye na usipuuzwe na teuz za kitz za kupeana peana
  4. L

    Mwambien Magufuli mwakilishi wake huku kapiga 10% afanye uchunguzi wa kina hastahili kuaw mkuu wa wilaya hata kwa siku mbili zaidi

    swala kama hilo mkuu wa wilaya hausiki mkuu wa wilaya yy ni mkubwa lkn mkurugenz ndo mwenye dhamana ya fedha yy ndo atakua amesaini mikataba ya ujenzi hapo unakuta hata mkuu wa wilaya akikagua anaona ujenz unaendelea tu vzr na gharama akadanganywa watu wa kuwajibishwa kea tukio hilo kwanza ni...
  5. L

    TAMISEMI

    hua najilaumu sana kwann sikusoma coz za afya ,,,japo ni ngumu lkn ningekomaa nikatusua tu ajira zao hazina stress kabsa yani
  6. L

    Nashindwa kufanya maamuzi ya kwenda kwenye usaili

    Mwaka jana baada ya kufanya oral interview ya Tra nikapigwa chini nafasi zilikua 145 nilikata tamaa sana yan zote hzo sikupata after a month nikaitwa tena interview post 1 watu 300 na nilikua mkoa,,,kimbembe ikawa kwenda watu weng esp family walikua hawana hopes lkn mm hata sijui why nilikua...
  7. L

    Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    hii ndo Maana halisi ya usiyempenda kaja
  8. L

    Arumeru: Jerry Muro achana chana hotuba aliyosomewa mbele ya halaiki, adai imejaa upuuzi

    ni kweli bt kuna vyeo vingne ni vya kujuana so hata hao TISS ushaur wao hauwi considered
  9. L

    Kuelekea deadline tuliyojiwekea kwamba kufikia 2025 Tanzania iwe ya uchumi wa kati, matokeo na mwenendo vinaridhisha?

    Hadi Kuona private company zinafanikiwa ni juhudi ya serikal kwa kuweka mazingira mazur kwa wajasiriamali walioanzisha viwanda vyao Leo mtu kama dangote ana lalamika mazingira sio rafiki kwa uwekezaji katika nchi imagine kwa mtu ambae ndo anaanza na capital ya kukopa itakuaje Ma dc na Rc...
  10. L

    Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

    sumtimes mm ndo maana nawakubal malaya sijawah kutembea na mwanamke wa kawaida akanisistizia condom lkn hawa malaya ukiingia nae swali la kwanza una condom?? hawa wa madem ndo wanatuua basi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    mtu mzma washaelewa hapo watu wanatishiwa maisha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

    ubaya wa sheria ukianza kuipindisha kwa ajili ya mtu flani hapo ndo uta fail daima kama kweli vifaa vinakuja kwa ajili ya misaada ya walimu kwann visiingizwe kwa jina la taasisi husika??? Leo yy ndo kawa wa kwanza kuomba misaada nje?? Rais mwenyewe haagizi kwa jina lake who is he mpaka yy awe...
  13. L

    Pata Acca pamoja na cpa kwa kufanya masomo tisa tu...Msiteseke kama sisi

    Kuna mwanangu hapa nashangaa daily CPA anapiga mweleka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom