Recent content by LEE VAN CLEEF

  1. LEE VAN CLEEF

    Gharama za kulipia ushuru wa gari bandaini.

    Ndugu wana JF nimeona kagari kamoja huko kwenye mitandao ka mwaka 2002 kanauzwa 2000usd CIF. kwa mimi katanifaa, lakini kwa mnaojua kukokotoa ushuru hapo bandarini naomba mnisaidie naweza kutozwa ushuru sh ngapi? gari ni ya cc 1300.
  2. LEE VAN CLEEF

    Ramani za nyumba

    Tupia picha.
  3. LEE VAN CLEEF

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Mkuu mzizi mkavu nimekuelewa nitafanya hivyo na nitawapa feed back mungu akipenda.
  4. LEE VAN CLEEF

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Ndugu wana JF, Naomba mnijuze dawa ya kuacha kukojoa kitandani kwa binti wa miaka 10. kusema kweli imekuwa kero na aibu tafadhalini nisaidieni.
  5. LEE VAN CLEEF

    Kufuga mbwa

    Mkuu Zinj mbwa namtaka kwa matumizi ya kawaida ulinzi wa nyumbani,uzio upo, mtu wa kumhudumia yupo, matunzo hayana tabu, na ninaishi Dar Ubungo.
  6. LEE VAN CLEEF

    Kufuga mbwa

    Mkuu nitafuatilia asante.
  7. LEE VAN CLEEF

    Kufuga mbwa

    Sawa mkuu nimekuelewa nipo Dar, na kuhusu kujua kama mbwa wote wa polisi si wakali ndo maana nimekuja humu jf ili nipate elimu.
  8. LEE VAN CLEEF

    Kufuga mbwa

    Ndugu wana JF, Naomba mwenye utaalamu anisaidie nataka kufuga mbwa mkali kama wa polisi, nitampata wapi, vyakula vyake ,matibabu yake nk. kwa ujumla jinsi ya kuweza kumiliki mbwa kama wa polisi.
  9. LEE VAN CLEEF

    Mbwa mkali

    Ngugu wana jf nataka kufuga mbwa mkali kama wa polisi nisaidieni mawazo kwa anayejua, nitampata wapi, vyakula madawa pamoja na maelezo mengine yatakayo nisaidia. Natanguliza shukrani.
  10. LEE VAN CLEEF

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Ndugu wana jf naomba mnijuze sababu zinazosababisha kukoroma na tiba yake .ndugu zangu mimi nikilala nikianza kukoroma trekta lina afadhali. Naomba msaada.
  11. LEE VAN CLEEF

    Raha ya kijijini!!!!!!!

    Ameline hayo ni MAKWEME yanastawi sana mwika mamba marangu kilema kirua vunjo nk na hicho kigari kwetu rombo kinaitwa KIPURUSA na mimi nilikua mkali wao ktkt kuvitengeneza.
  12. LEE VAN CLEEF

    tujadili: Uzandiki wa Kagame kwa Bosco Ntaganda

    si nasikia katoroka the hague.
  13. LEE VAN CLEEF

    Wananchi wanaaga mwili wa Chavez..Live.

    hawasumbuliwi na magonjwa ndugu yangu wanauawa na mmarekani kimya kimya.
  14. LEE VAN CLEEF

    Magari ya STK

    mambo ya intlijensia
Back
Top Bottom