Gharama za kulipia ushuru wa gari bandaini.

Gharama za kulipia ushuru wa gari bandaini.

LEE VAN CLEEF

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
29
Reaction score
5
Ndugu wana JF nimeona kagari kamoja huko kwenye mitandao ka mwaka 2002 kanauzwa 2000usd CIF. kwa mimi katanifaa, lakini kwa mnaojua kukokotoa ushuru hapo bandarini naomba mnisaidie naweza kutozwa ushuru sh ngapi? gari ni ya cc 1300.
 
Ingia www.tra.com kuna sehemu ina tools and calculator nenda kwenye calculator for used motor vehicle thn ukiingia hapo make sure una chasis no ya hiyo ndinga cz kuna sehemu 2 kwenye hiyo excel moja ni kwa ajili ya kutafuta bei nyingine ni kwa ajili ya valuation! But kama ikiwa ngumu nipe chasis no ya hiyo gari plus make and model nikusaidie mkuu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mbona hujasema kama ina inspection imefanyiwa kama wameanya aproximate usd 1700
 
Na mm nimeagiza prado 2980cc chasis no
.kzj950119148 ya mwaka 1999. 9500$ cif. Je ushuru utakuwa kiaso gani?
 
Na mm nimeagiza prado 2980cc chasis no
.kzj950119148 ya mwaka 1999. 9500$ cif. Je ushuru utakuwa kiaso gani?

mkuu mbona bado prado ya 99 au 2000 ungeweza kupata kutoka japan kwa cif dar price kwa bei ambayo ni less kwa hiyo yako kwa tsh 2M. Na kwa kuwa kodi karibu zote wanazikokotoa kutokana na cif price, kwa %, hivyo ungeokoa tena pesa zingine nyingi tu!
 
Hyo yangu ni ya diesel kaka nisaidie kodi itakuwa kiasi gani pliz!
 
Back
Top Bottom