bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,814
Habari zilizogonga vichwa vingi vya habari duniani katika masuala ya siasa ni kujisalimisha kwa aliye kuwa kiongozi wa waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo (DRC).
Jenerali Bosco Ntaganda katika ubalozi wa Marekani nchini Rwanda mi naomba tujiulize maswali haya; JE HUYU KIONGOZI WA WAASI ALIINGIAJE RWANDA?, JE NDIYO KUSEMA KWA ALIKUA ANAISHI RWANDA? JE KAMA AISHI RWANDA ILIKUAJE APENETRATE ADI KIGALI MJI MKUU WA RWANDA ILIOPO KATI KATI YA NCHI YA RWANDA NA ASIONEKANE? , KWA NINI TUSIAMINI KUWA KAGAME NA MUSEVENI BAADA YA KUONA MAJI YAMEZIDI UNGA WAKAMWAMBIA BOSCO AJISALIMISHE UBALOZI WA AMERIKA?
RAI YANGU KWA KAGAME; haache tabia ya kufadhili vikundi vya waasi nchini DRC kwanza nawashangaa ICTR pale Arusha kwa nini adi leo hawajamkamta Kagame kwani ni muuaji mkubwa ila ninachojua VIONGOZI WOTE WA AFRICA NI WANAFKI WAKUBWA EXCEPT GADDAFI.