LEE VAN CLEEF
Member
- Feb 28, 2013
- 29
- 5
Ndugu wana JF,
Naomba mwenye utaalamu anisaidie nataka kufuga mbwa mkali kama wa polisi, nitampata wapi, vyakula vyake ,matibabu yake nk. kwa ujumla jinsi ya kuweza kumiliki mbwa kama wa polisi.