Recent content by Lee kim honj

  1. L

    Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Silaha yetu sisi ipo moyoni unaweza ukawa na vifaa vikubwa na bora lakn kama huna askari watiifu na ambao wana uchungu na nchi yao kamwe huwezi kushinda vita vita ni kutoka moyoni askari bora ni yule anayeishi na imani ya nchi yake moyoni hata kama mapungufu yapo ila imani na moyo vifaa ni...
  2. L

    FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

    Huwa unaridhika kwa bao ngapi maana inaonekana wewe ni muhanga wa wale ambao hawana kiflash na ufundi wote huu bado hutosheki
  3. L

    Sababu za Bundi kulia kwenye nyumba yenye mgonjwa na Mgonjwa kufariki baadaye

    Ukiona bundi anakusumbua nyumbani usipate shida tafuta chumvi ya magadi hasa ile kama ambayo ipo kama jiwe kubwa kubwa tupia kwenye moto kama bundi yupo kwenye paa la nyumba chumvi ikipasuka kwa mshindo bundi lazima akate roho anakufa hapo hapo ila ukichoma hii ya kawaida kwa kunyunyiza...
  4. L

    Sababu za Bundi kulia kwenye nyumba yenye mgonjwa na Mgonjwa kufariki baadaye

    Hii kitu kuna mtu alishawahi kunisimulia japo bundi kiumbe anayetumika sana kwenye mambo ya ushirikina ila jamaa aliniambia bundi ananusa harufu ya mzoga akiwa mbali sana ndio maana kama kuna mgonjwa ambaye amekaribia kufa baadhi ya seli zinaanza kufa japo anaonekana akiwa hai na bundi anakuwa...
  5. L

    Naomba ufafanuzi treni ya SGR haitakuwa inabeba mizigo?

    Reli ya SGR itajengwa kufika bandarini hicho kipande kilihitaji usanifu na gharama za fidia kwaajili ya kupata njia kwa maelezo ya TRC ni kwamba tayari wako hatua za mwisho kukamilisha ili wamkabidhi mkandarasi ni kipande kama 5km double track hadi bandarini ila kwa sasa Treni ya mizigo SGR...
  6. L

    Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

    Acha kupotosha bhana au gaj 32 labda ila 30 andaa 2.5
  7. L

    Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

    Kiukweli kabisa Tecno sina hamu nayo kabisa yaani ilichonifanyia siwezi kusahau me nipo kwenye starehe na mtoto wa Baba mkwe ucku nakula tunda nimeiweka charge kumbe ilijaa ikachemka ikajipiga namba ya mama mkwe akapokea akijua kuna shida kumbe cm imejipiga alafu kila akikata haikati ikabidi...
  8. L

    Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

    Siyo kweli nyumba yangu na ukubwa wake bat 150. Haiwezi kumaliza 50m sembuse vyumba viwili
  9. L

    Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

    Kwa hiyo ramani inavyoonekana bati si chini ya 100 hapo tayari 4m imeenda Mbao 1.5m tofali 2.5-3m cemen 900k kokoto inategemeana ila si chini ya 150k nondo 7-800k fundi wa kujenga 1m fundi kupaua 800k weka na mchanga madirisha na milango 1.5m weka vitu vidgo vidgo ukiona umebakiza 3M pembeni nje...
  10. L

    Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

    Kwa jinsi ujenzi na gharama ya vifaa vilivyopanda bei nakushauri anza kujengea kwenye karatasi kwa uhalisia wa gharama za material bila hvyo hiyo ramani kama inazidi vyumba viwili jiandae kuishia njiani
  11. L

    Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

    Ameshawaambia amepambania brand yake mda mrefu na ameijenga vyema pia hata uzito wao ni tofauti twaha ni bondia nyota 2 na mwakinyo ni bondia nyota 4 twaha kiduku atafute mapromota wamtafutie mapambano ya nje ya level za juu ashinde apande afikie angalau nyota 3 pia hata uzito wanaangalia twaha...
  12. L

    Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

    Watanzania msipeane hofu wajuba tupo huku kwa upande wetu ni salama hata panya hakatizi kuleni maisha
  13. L

    Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

    Waliopo mtwara wanajua kuanzia mwezi wa 10 mwaka jana kurudi nyuma mtwara ulikuwa unaogopa kunywa hata maji pia wale waasi walikuwa na intelijensi kubwa sana huku tz mtwara walikuwepo mpaka bodaboda waasi wanaopeleka taarifa kwa hao mabarangasusu ila kilichowakuta sidhani kama wana hamu hata...
  14. L

    Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

    Iko hivi kwa mtu ambaye unakula ugali kwa mama ako au uko kwa shemeji yako na infinix au tecno ukipiga vizinga vya vocha unaweza ukaona unajua sana kumbe hujui lolote ngoja nikupe somo na kama unafatilia mwaka jana wakati kitaya inavamiwa Tanzania ilikuwa bado hawajakutana na madhara ya waasi wa...
Back
Top Bottom