Recent content by Ledisia

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Bi/shamba(Afisa ugani

    tukifikia muafaka niko tayari
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Bi/shamba(Afisa ugani

    Wadau mm nina astashahada ya kilimo na mifugo natafuta kazi inayoendana na fani yangu katka makampuni na pia hata ktk mashamba ya watu binafsi popote niko tayari kufanya kazi
  3. L

    JamiiForums Tanzania natafuta mchumba 28 to 45

    kila la heri bidada umpate huyo akupendaye
  4. L

    JamiiForums Tanzania maumivu ya kichwa

    asante kwa ushauri
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atimuliwa nyumban kisa cm!

    dunia itamwadhibu asifikiri huyu mwanaume atampenda akiwa kwake
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika bajia

    ndugu zangu napenda sana bajia ila cjui kuzipika tafadhali mwenye ujuzi nazo
  7. L

    JamiiForums Tanzania maumivu ya kichwa

    wapendwa mwenzenu kichwa kinaniua jamani nimetumia dawa bila kupona naombeni ushauri nn tiba mbadala
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    mambo ya wanasiasa tu hayo aliongea na alishamaliza huyo cna mtaji tu ningeanzisha hata mradi wwte kuhusiana na fani yangu sasa cna kianzio
  9. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    habari zenu wapendwa mm ni mtaalamu wa kilimo na mifugo nina astashahada kwa yeyote mwenye uhitaji plz tuwasiliane au kama kuna sehemu ambayo wanahitaji bibi/bwana shamba pm me tafadhali
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi!

    habari za humu bandugu natumai mko wazima wote
Back
Top Bottom