Natafuta kazi

Natafuta kazi

Ledisia

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
10
Reaction score
0
habari zenu wapendwa mm ni mtaalamu wa kilimo na mifugo nina astashahada kwa yeyote mwenye uhitaji plz tuwasiliane au kama kuna sehemu ambayo wanahitaji bibi/bwana shamba pm me tafadhali
 
Ledisia wasiliana na Mh @Nchemba Mwigulu kuna ile hoja yake alipendekeze watu kama nyie mpewe mitaji mkafanye shughuli za uzalishaji kwa kutumia hizo taaluma zenu
 
Last edited by a moderator:
mambo ya wanasiasa tu hayo aliongea na alishamaliza huyo cna mtaji tu ningeanzisha hata mradi wwte kuhusiana na fani yangu sasa cna kianzio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom