Recent content by lecture

  1. L

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    mwampamba, kwanini usiende kwenu kijijini mbozi ukalime viazi na mahindi kuliko kuzurura hapa kwetu dar es salaam bila kazi, umeamua kuwa wa mipasho kama wamama wa kizaramo, mtoto wa kiume wewe ACHA UJINGA.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Laana iwe juu yako Profesa Rwekaza Mukandara kwa 'Slogan' hii

    acha majungu politician yuko pouwa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Mungu akulinde ndugu, shetani na mipango yake kamwe haitoweza dhidi yako. hongera kwa kuhitimu mafunzo ya jkt.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Stendi ya mabasi ubungo ilisha hamia mbezi .

    tarehe 21 january ndio tarehe iliyotangazwa kwamba stendi ya mabasi yaendayo mikoani ubungo itahamia mbezi louis ili kupisha mradi wa mabasi yaendayo kasi, lakini mpaka leo agizo halijatekelezwa na ujenzi unaendelea katika msongamano mkubwa wa foleni, je waziri anatoa kauli gani kuhusu hili.
  5. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, video ya Lwakatare ukweli wake huu hapa

    kep up it boy! umefanya mambo kisayansi!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tume ya Pinda: Yatoa taarifa yake ya wanafunzi kufeli mtihani wa kidato cha nne

    haaaaaaaaaah! mbona kama majibu ni simple like dhati hata mimi undergraduate nafaa kuwa mkuu wa tume. sema tanzaniaaaaa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

    pamoja sana
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mashabiki wa Kenyatta na Agwambo

    acha wivu ulitaka uchaguliwe wewe
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naungana na jamii ya kimataifa kutompa ushirikiano mheshimiwa Uhuru Kenyatta

    acha ujinga wa marekani ni ndugu zako. funga mdomo wako
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wana Udsm mgodi wa Pale ARIS Unatema Leo

    acha siasa kwenye mambo ya elimu
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    habari za hivi punde kutoka katika kituo kikuu cha uhesabuji wa kura mjini nairobi, ni kwamba mgombea wa muungano wa jubillee bwana uhuru kenyata anaongoza kwa 54 dhidi ya odinga kwa 40.ACCORDING TO BBC.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Adhabu za bakora kurudishwa ili kuwaadabisha Wanafunzi

    safi mulugo rudisha viboko watoto wajifunze adabu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

    people
Back
Top Bottom