Recent content by Lecheminduroi

  1. Lecheminduroi

    Utupaji pampasi ovyo ni aibu, wamama tubadilike

    Mkuu kama umeniona, juzi nafanya usafi kwenye mfereji(umepita home) nusu nishike pedi na pampasi. Watu inabidi wajue hivyo vitu vinaweza kufanyiwa maagano ya kiroho, watarogwa. Nikija oa mwanamke wa aina hiyo nambutua divorce chap chap.
  2. Lecheminduroi

    Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Ulitaka ajibuje? Hata mimi namsupport. Jitu linastress ya kutochaguliwa kwenye kazi za sensa, linaandika us*nge. Kumbuka ni million sio elfu 2 hiyo.
  3. Lecheminduroi

    Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

    Mondi yuko sahihi 100% kwenye upande wa uwekezaji lakini kuna sehemu ni kama mzani unayumba. Anaongea mwanzo mwisho kuhusu kutoa mbona hasemi kuhusu kupokea! Hoja zake ni kama amewekeza pesa kubwa halafu uwekezaji haumlipi! Ni nani asiyejuwa Rayvanny alikuwa ndio msanii anayefanya vizuri...
  4. Lecheminduroi

    Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

    Typical Tanzanian man, kwenye harusi unaleta habari za msiba!. Hiyo yako ni topic nyingine na ya siku nyingine kwa leo tunasheherekea uchoyo wa Sakho ulivyotuheshimisha. Learn to appreciate where its due
  5. Lecheminduroi

    Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Hivi hizi mada huwa mnaanzisha kwa ajili ya kutafuta sifa ili muwavue kyupi maadvocate wa 50/50 humu jukwaani au?. Hiki ulichoandika huku uraiani hakipo applicable kabisa, hakuna mwanaume nishawahi ona anaendesha ndoa kwa misingi hiyo. Ok labda tukubaliane kutokukubaliana kwasababu katiba ina...
  6. Lecheminduroi

    Hofu hii inasababishwa na nini na kwanini haikuwapo wakati wa kupigania uhuru?

    Hata Mbeya mjini pia makaburi ya wasafwa yamejengwa kwa namna hiyo.
  7. Lecheminduroi

    Hofu hii inasababishwa na nini na kwanini haikuwapo wakati wa kupigania uhuru?

    Sikumbuki nilisoma wapi ila inasemekana hapo awali Kiswahili kiliandikwa kwa herufi za Kiarab. Kama hili ni kweli huoni kama sio sahihi kuhusianisha hiyo barua na dini ya Mkwawa? Nimesoma na mtu kutoka kwenye huo ukoo, nitafuatilia kuhusu hili.
  8. Lecheminduroi

    Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

    Hata mimi wakati ungerudi nyuma ni either ningeopt chuo au chuo cha ufundi(veta). Nilipotezea credit za Physics,Chemistry na Maths sasa hivi najiona fala kusoma advance HGL. Pili kwa hizo one zao ni ngumu sana kutoka na ufaulu wa kuridhisha. Shule niliyosoma na michepuo ya science ilikuwepo...
  9. Lecheminduroi

    Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

    Mtoe Mzabzab hapo anakaa anasbo.
  10. Lecheminduroi

    Sahau kuhusu Utajiri kama unafuatisha mifumo

    Huu uzi umegusa mpaka wanachama adimu jukwaani!. Slogan ni ile ile get rich or die tryin.
  11. Lecheminduroi

    CHADEMA acheni nongwa waacheni Wabunge waliopambania chama chenu wamalize muda wao

    CC ya CCM wamekubaliana na sisi kwenye suala la katiba mpya, hii inathibitisha hata CCM wenyewe wanatukubali kwenye masuala ya kupigania maslahi ya wananchi. Haya nenda kakinge buku teni hilo kwa Tulia. Usisahau pia kumpa salamu kwamba atulie wana Mbeya 2025 tunamletea Sugu amsugue.
  12. Lecheminduroi

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Wewe ndio ufuatilie maana mimi hutonidanganya kuhusu kayumba au international, nishapita kwote huko. Mbona mashoga wengi wanatokea mitaa ya waswahili kwa wingi ambako wanatokea watoto wengi wa kayumba?
  13. Lecheminduroi

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Hawapo tayari kuendana na mabadiliko, wenzetu walishahama huko kwenye simu kuwa mjadala achilia mbali issue ya viboko. Nimebahatika kupita international na kayumba kwenye level ya msingi. Akili ya mtoto wa darasa la 7 kayumba inawezekana kazidiwa na mtoto wa grade 4 international. Watoto...
  14. Lecheminduroi

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Unategemea nini mkuu kutoka kwa mtu ambaye anaona simu ni anasa? Hawako sawa kweli hawa.
Back
Top Bottom