Recent content by Lebanon

  1. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Dakika 100 kupiga mitandao yote hazinitoshi. Natumia wastani wa dakika 500 kwa mwezi. Mambo ya kubaniana eti upige airtel kwenda airtel tu ni ushamba na mambo ya kizamani. Kwani phonebook yangu imejaa watumiaji wa airtel tu? Mahitaji yako na yangu tofauti. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Na airtime kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Serikali ipi imehamia Dodoma?

    Mbona Ikulu ya Naijeria ipo Abuja? Pathetic Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Serikali ipi imehamia Dodoma?

    Kuhamia Dodoma kwa dunia hii ya sasa ni kupoteza muda, na pesa. Duniani duara....e governement kila sehemu. Kulikua na haja gani kuhamia Dodoma. Magu Wakukurupuka. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Aston Villa vs Leicester City Liveupdate.

    Samatha ndio mdudu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Jina: Arqam bin Ali Al Harthi Ethnicity: Lebanese Uraia: Mtanzania Pesa:Ipo Kazi: Usafirishaji na mduka kadhaa (magari kadhaa under my family company name) Dini:Muslim Makazi: Upanga, Dar es Salaam Elimu: Bachelor of Business Admin....Univ of Cyprus Umri: 32 Marital Status: Single Tabia: A...
  7. L

    Nifanyaje kurejesha rangi ya mwili wangu?

    Inabidi abwinu mbuni yeye mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    Nifanyaje kurejesha rangi ya mwili wangu?

    Maisha tu hayo. Unashinda juani....unanuka nuka shida. Stress za maisha. Walahi nakuapia. Ukaolewa na mtu kama mimi, ukakaa ndani vzuri, wala unachokitaka, unavaa unachokitaka, unafanya unachokitaka....una pesa za sundries....nakupiga mshedede vizuri....lazima ung'ae tena. Manii nazo ni dawa...
  9. L

    Dar es Salaam: Mwandishi wa Habari akutwa amefariki chumbani kwake

    Unakuta ni freelancer hata hawakufatilii Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Rafiki yangu kapendwa na bibi wa miaka 77, nimshauri vipi?

    43 bado msichana huyo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Chunga sana kauli zako. Hakuna jukwa la wakubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Piga nyota moja nne saba, nyota, sifuri sifuri alama ya reli. Chagua kifurushi cha mwezi. Mitandao yote, au chagua namba 3 Combo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Hii inapatikana tigo tu Tigo baba Lao Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Yaani tigo ife? Elfu 10 dakika 550 na GB 3 mwezi mzima inakufaje sasa? Acheni uzwazwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. L

    Waziri Zungu: Mitumba inachafua mazingira

    Anaijua AGOA? Atoe mitumba agombane na TRUMP Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom