Recent content by Le patron

  1. Le patron

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mke wa Rais mstaafu akamatwa kwa madai ya wizi

    Hichilema kaanza kulipa kisasi kwa jinsi lungu alivyomuhenyesha kipindi ana struggle kupata urasi kweli yajayo yanafurahisha ni swala la muda tyuuu
  2. Le patron

    JamiiForums Tanzania Mambo yaliyombeba Dkt. Dotto Biteko kupata Unaibu Waziri Mkuu na mtihani ulio mbele yake

    Duh huo mkeka kama notes
  3. Le patron

    JamiiForums Tanzania Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

    Wapumbavu wachache ndio wanaoponda Ila PK ndyo da best president ever afrika ingawa kuna kipindi hata mm alinikonfuse kwa kumngua raisi wangu jmk pia na kuwazingua wapinzan wake wakiwepo wahutu Ila jamaa angekuwa nchi yenye raslmali nying Kama tz nahisi Rwanda ingekuwa Korea kusini ya afrika au...
  4. Le patron

    JamiiForums Tanzania Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

    Kuna kipindi geto samaki mmmoja nilikaa nae wiki nzima yaani ni mwendo wa kuongeza maji na kupasha alafu nakula mchuzi na ugali tu samaki simguai ili kesho niongeze maji nimpashe tena yaani sio pw mpaka samaki alibadilika radha Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. Le patron

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Kweli
  6. Le patron

    JamiiForums Tanzania KWELI Mashine za Kunyolea nywele zinaweza kusambaza VVU

    Tymia condom br acha ugai gai
  7. Le patron

    JamiiForums Tanzania Bia za kununuliwa kuagiza Savanna, Desperados na Redbull huo ni ushamba

    Kwan ulilazimishwa kununua?
  8. Le patron

    JamiiForums Tanzania Upi umri wa kustaafu utumishi wa umma?

    Jinga kweli wewe
  9. Le patron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

    Kwani hizo pep zinatumikaje jamani
  10. Le patron

    JamiiForums Tanzania Mali za umma zinapouzwa, watumishi wa Serikali wasiruhusiwe kununua sababu si walipa kodi

    Mbn watumishi ndyo wanaoongoza kwa kulipa Kodi nchi hii
  11. Le patron

    JamiiForums Tanzania Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

    Mwenye dawa ya kuacha sigara anisaidie kuna laki hapa nmejaribu nmeshindwa msaada wakorongwa
  12. Le patron

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    Nahitaji hii ndugu unapatikana wapi
Back
Top Bottom