Recent content by Le grandeur

  1. Le grandeur

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Yaaniiiii haka kakipengelee ni balaaa zitoooo
  2. Le grandeur

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Damn............ Yaani hapa Jumapili ni kama mwakani...! Thanks brother.
  3. Le grandeur

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tunashukuru hata kwa kuturudia kaka mkubwa... Nilikuwa na"scroll tu kutafuta mwendelezo wa stori nakuta maujinga + mabishano ya hovyo ya baadhi ya memba..... Keep it up kaka mkubwa
  4. Le grandeur

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwamba uliokoa jahazi kwa Iryn .... Hongera
  5. Le grandeur

    Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    Nimegundua kitu kimoja.. "mkwanja haupo BOT bali unazurura kwenye mifuko ya mtu maana kila aendako anatoa Mikwanja yani cheleeeee"
  6. Le grandeur

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    TOKOMEZA ZEROOO Aliwahi kusema "Dar es Salaam bila Zero inawezekana" Uwiiiii, ss naona Jiji linaongoza kwa Zero na kiongozi wao alipata ZEROOO.. [emoji40][emoji40]Nashangaa Aaaaaahhhhh [emoji40][emoji40]
  7. Le grandeur

    Nimeamua kutoa sadaka elimu yangu

    Polee sana ndugu
  8. Le grandeur

    Kwanini wapinzani mnageuza Mahakama kama ulingo wa kisiasa?

    Kwan siasa sio Imani? Hao wote unaowafahamu kama wanasiasa unadhani wanajifurahisha?? Wana imani na kile wanachofanyaa. Imani ni kuamini kile unachofanya wala sio lazima usali wala kuswali..
  9. Le grandeur

    Kwanini wapinzani mnageuza Mahakama kama ulingo wa kisiasa?

    Polee, Kwan kuwa rais ndio kunamfanya mtu ajione yeye amekamilika kuliko wengine wamzungukao? N still mtu anataka nguvu ya Mungu wakati hamtaki Mungu.. Hahaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] pole kwa sana ongeza maarifaaaaaaaa
  10. Le grandeur

    Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

    Lengo la serikali ni kuzuia watu wasome hakuna jingine, tangu walipoanza kusema SIFA NA VIGEZO na hii inaonyesha kuwa hakuna mkwanja wa kuendesha Elimu bali ni ujenzi na ununuzi wa [emoji574] na [emoji577] la umemee
  11. Le grandeur

    Hukumu Kesi ya Kikatiba ya Jamii Media: Mahakama yakiri Sheria Makosa ya Mitandao inahitaji kanuni

    Mkubwa hawez kuomba msamaha live on the spot.. Unaweza ukashangaa wanahamishwa zaidi hapo
  12. Le grandeur

    Kwanini wapinzani mnageuza Mahakama kama ulingo wa kisiasa?

    Kama Yesu alijaribiwa na alitukanwa "who is Magu by the way? Jifunzeni kuwa na uvumilivu wa kisiasa"
Back
Top Bottom