FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,866
- 109,166
Hivi Kati ya ccm na wapinzani wanaotumia mahakama kuwakandamiza wengine ni nani? Ni viongozi wangapi mpaka sasa wa upinzani ambao wana kesi zilizofunguliwa na ccm na wengine wanatumikia vifungo? Tumieni vichwa vyenu kufikiri siyo kufugia nywele
Naam, hilo ndilo lengo. Wanasiasa uchwara wa upinzani wanafanya vitimbi vya makusudi ili wachukuliwe sheria na dola, ili watu kama wewe msiyeweza kutumia vichwa vyenu kufikiri muone wanaonewa. Hilo ndiyo lengo la upinzani kwa sasa.
Wenye vichwa ambavyo havijajazwa ujinga tumeshalibaini hilo.