Hapa kila mtu asikilize moyo wake unataka nini,usikurupuke kisa mtu kasema alienda akabadilisha saivi yuko kitengo, kumbukeni bahati hazifanani, kama imetokea kwa mwenzio sio lazima na kwako,matarajio yanaumiza wengi mtakuja kufa na magonjwa ya tumbo,fanya maamuzi yako binafsi kwa ajili ya...