Baada ya Kenya kuibiwa na wachina kwa kupandishiwa bei katika ujenzi wa SGR, yazinduka na kuwafukuza Wachina

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
 James Macharia

Transport Secretary James Macharia. FILE PHOTO | NMG
Kenya has dropped an expensive Chinese contractor for the upgrade of the old railway track from Naivasha to Malaba, as it mulls new ways to link the century-old line to the standard gauge railway (SGR) line at Naivasha.
The government has opted to fund the revamp of the metre gauge railway (MGR) line to Malaba with an initial budget of Sh3.5 billion.

In the same breath, it has dropped a private financier and the use of the Chinese contractor who had quoted in excess of Sh50 billion to upgrade the line and link it to the Mombasa-Naivasha SGR line.

Funding from an unidentified private backer was seen as a cheaper option compared to building a new modern line with Chinese loans, but the upgrade costs derailed the project.

Transport Secretary James Macharia told the Business Daily on Tuesday that the Public Private Partnership (PPP) arrangement was taking too long, prompting the government to drop it and seek a cheaper financing model.
“Government will fund it and the estimated cost is about Sh3.5 billion, but after proper documentation this could be plus or minus,” Mr Macharia said. “I would say that about a month from today, it will start and will take a year to complete. We want to do it as an extension of the SGR and it has to be seamless”.

Plans to link the Malaba meter gauge line to the SGR come as Kenya prepares to clear goods imported through the Port of Mombasa and headed to western Kenya and neighbouring countries of Uganda, the Democratic Republic Congo and South Sudan through the Naivasha dry port.

Sources familiar with the earlier PPP plan said that a quotation for the upgrade by the Chinese contractor had surpassed the envisaged budget by more than three times, sending the government back to the drawing board.
The problem has been blamed for the inaction on the upgrade plan, whose construction was meant to start in July last year.
The private investor was going to charge hefty fees to recover their investment based on the Chinese quotations.
The government had estimated that revamping the MGR line to Malaba would cost Sh21 billion. Mr Macharia failed to provide upgrade plans that led to further cuts and to the Sh3.5 billion estimate.
“As you know, PPP takes time and we are trying to move quickly because of the issue of trucks and the Covid-19. To try and reduce as much as possible trucks that also damage our roads,” he said.

“We are doing this with the coronavirus in mind and we want to reduce the issue of trucks along the road moving this cargo”.

Truck drivers have emerged as a weak link in the region’s efforts to fight the spread of the virus, which had infected 2,093 Kenyans and killed 71 by yesterday.

Kenya abandoned its bid to extend the SGR line to Kisumu and later on to the Ugandan border after failing to secure a multi-billion-shilling loan from China, which had funded the first and second phases of the line.
The Sh320 billion SGR line linking the Port of Mombasa with Nairobi was opened in May 2017. It was later linked with the Sh150 billion line to Naivasha, which started operations last August.

The Nairobi-Naivasha SGR line was meant to be connected to the old railway line running to the Malaba border town to allow for seamless movement of cargo from the Mombasa port to Uganda. There have been concerns that the Mombasa to Naivasha SGR line, which cost an estimated Sh477 billion including financing costs, would not be economically viable if it is not connected to Kampala which is a major user of the Mombasa port for its imports.

Uganda is also said to be working on the reconstruction of the MGR line from Malaba to Kampala with funding from the European Union. The upgrades for the two lines, Malaba-Kampala and Tororo-Gulu, will cost that country some Sh18 billion. Kenya had already offered to give Uganda land to construct an inland depot in Naivasha.

The renewed focus on the MGR line now dims hopes for fast-tracking of the Chinese-funded SGR, which was expected to reach Kisumu by 2022 and link it to a sea port for shipping of cargo to Uganda.

Kenya drops Chinese contractor for Naivasha-Malaba rail upgrade


MY TAKE: Sasa hivi Wakenya wanaiga kila anachokifanya Magufuli. Ikumbukwe kwamba Magufuli alikataa pesa ya wachina kiasi cha $7.9B ambazo zingetumika kujenga SGR ya Tanzania baada ya kugundua kwamba gharama za ujenzi zilikua juu sana, akaamua kuanza ujunzi kwa kutumia pesa ya ndani.

NOTE; Anachokiona Magufuli akiwa amekaa, Uhuru Kenyatta hawezi kukiona hata akiwa juu ya mlima Kilimanjaro.
 
Kwasababu mnaiga kila kitu anachofanya Magufuli, kwanini msichukue Engineers wetu ili wawafundishe jinsi tunavyofanya?.
Kenya RAILWAYS ENGINEERS HAVE BEEN MAINTAINING OUR RAILWAY INFRASTRUCTURE for decades, the Nairobi-Nanyuki railway is been revived by Kenyan experts.

Hakuna mtu anaiga Magufuli, that tin-pot dictator is a symbol of amusement and comic relief in Kenya.
 
Huu ni upuzi. Kila kitu ni Magufuli. Wacheni mchezo.
Alipoachana na Mkopo wa wachina kwa ajili ya SGR yetu ambao Kikwete alikua ameshakubali kuuchukua, Kenya tayari mlikua mumeshafakamia Mkopo wa SGR yenu. Magufuli alipoingia madarakani akasema gharama za wachina zipo juu sana, ninyi mlisema reli yenu ni "Chinese first class" mkawa mnawatetea wachina.

Kiukweli nchi nyingi sana zilikua zinaibiwa na wachina katika ujenzi wa reli na barabara, Magufuli ndiye aliyeziamsha baada ya kuanzia kukataa pesa za wachina na kusema wanapandisha gharama za ujenzi, isingekua Magufuli, hata hii MGR yenu mungewapa wachina kwa gharama ya hiyo 50B.lazima tuseme ukweli kwamba Magufuli anaona mbali kuliko marais wengine.
 
joto la jiwe,

Je unajua $7.9B ilikuwa gharama ya SGR kwa km ngapi?je unajua kwahizi lot mbili,dar-morogoro na morogoro-makutupora mpaka sasa zimekula $ ngapi?simtetei Mchina ila kama mambo ya kupigwa tunayataka wenyewe na hiyo SGR ikija kuisha huenda gharama zikawa kubwa kuliko hicho tulichokikataa
 
joto la jiwe,

Hata wapinzani Tanzania wameshindwa kuona anachokiona Magufuli isipokuwa wamebaki kufukuzana na kivuli chake. Maono aliyo nayo Magufuli hakika ni ya kipekee katika ulimwengu huu kiasi hata watumishi wa Mungu wanakubali hilo. Kwa mfano, hakuna aliyetegemea kutokea kwa kirusi cha korona, lakini msisitizo wa Magufuli wa ujenzi wa viwanda leo hii unaokoa maisha ya WaTz kwa hupatikanaji wa bidhaa za viwanda, ikiwa ni pamoja na vifakinga vya COVID-19, ambazo zilikuwa zinaagizwa na kuifanya nchi kuwa gurilo.

Kwamba ujenzi wa miundo mbinu (SGR, Umeme, Viwanja vya Ndege, Barabara, Usafiri majini) yenye umuhimu katika kukuza uchumi, faida yake haionekani kwa sasa, lakini si muda mrefu itadhihirika wazi maamuzi yake ni sahihi na ya msingi.
 
Je unajua $7.9B ilikuwa gharama ya SGR kwa km ngapi?je unajua kwahizi lot mbili,dar-morogoro na morogoro-makutupora mpaka sasa zimekula $ ngapi?simtetei mchina ila kama mambo ya kupigwa tunayataka wenyewe na hiyo SGR ikija kuisha huenda gharama zikawa kubwa kuliko hicho tulichokikataa
Unapaswa kutoa data ili tujionee wacha kuendelea kuuliza maswali. Kwanza hiyo $7.9 ilikua sio reli ya umeme. Unapozungumzia gharama za ujenzi lazima utoe estimates kwa kilometa moja ya reli, hadi amakutopora ni $3.1B kwa jumla ya 700Km, zimebaki 500Km hadi kufika Mwanza, huenda zikagharimu $3B, jumla ni $6.1B, tutaokoa zaidi ya $1.8B, tena ni train ya UMEME, tungejenga ya Diesel kama walivyopanga huenda tungetumia $4B tu hadi Mwanza.
 
Je unajua $7.9B ilikuwa gharama ya SGR kwa km ngapi?je unajua kwahizi lot mbili,dar-morogoro na morogoro-makutupora mpaka sasa zimekula $ ngapi?simtetei mchina ila kama mambo ya kupigwa tunayataka wenyewe na hiyo SGR ikija kuisha huenda gharama zikawa kubwa kuliko hicho tulichokikataa
Wacha ufala SGR Phase I gharama ni $1.2bln wakati SGR Phase II ni $1.9 bln. Nina uhakika reli itafika Mwanza kwa gharama iliyo ndogo kuliko hiyo $7.9bln!
 
Wacha ufala SGR Phase I gharama ni $1.2bln wakati SGR Phase II ni $1.9 bln. Nina uhakika reli itafika Mwanza kwa gharama iliyo ndogo kuliko hiyo $7.9bln!
Mtu yoyote anayetukana badala ya kujenga hoja huyo hana akili, ila kwa kukusaidia tu kuna lot 5 mpaka Mwanza, mbili tayari zishamaliza $3.1B na hiyo ni contract price bado hujaongeza variations ambazo zimetokea.
 
Mtu yoyote anayetukana badala ya kujenga hoja huyo hana akili, ila kwa kukusaidia tu kuna lot 5 mpaka mwanza,mbili tayari zishamaliza $3.1B na hiyo ni contract price bado hujaongeza variations ambazo zimetokea
Kaka nimekuambia tumia "Kilometa" sio "lots", gharama zinapangwa kwa Kilometer sio lots. Dar hadi Mwanza ni 1200Km...
Dar hadi Makutopora ni 700Km na zimegharimu $3.1B, zimebaki 500Km, akili kichwani mwako. Unahisi hizo zitagharimu zaidi ya hizo 700Km?
 
Kaka nimekuambia tumia "Kilometa" sio "lots", gharama zinapangwa kwa Kilometer sio lots. Dar hadi Mwanza ni 1200Km...
Dar hadi Makutopora ni 700Km na zimegharimu $3.1B, zimebaki 500Km, akili kichwani mwako. Unahisi hizo zitagharimu zaidi ya hizo 700Km?
Shida yako unaongea vitu ambavyo huvielewi,kutoka dar to morogoro ni km 205km lakini ukiweka na links zake ni karibu km 300
 
Back
Top Bottom