HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,056
- 1,212
Hapa naona umechanganya madesa ndugu yanguHayo mafuta ya kupikia yana density gani? Mafuta ya kupikia yapo ya aina nyingi.
“The density of the oils varies with each type and temperature. The range is from 0.91 to 0.93 g/cm3 between the temperatures of 15 °C and 25 °C. Comparing to water, whose density is 1.00 g/ml, cooking oil is less dense.”
Tukichukulia mafuta yako yana density ya chini ya makadirio ya 0.91g/cm cube, na tunajua Density = mass/volume, hivyo ujazo = uzito /density, ujazo unakuwa 17kg/ 910kg/meter cube , ambayo ni sawa na 0.018681318681319 cubic meter za ujazo, ambayo ni sawa na lita 18.68132 za ujazo kwa kila kilo 17 za uzito za mafuta hayo
Kwani mafuta ya kupikia sio kimiminika?(liquid)
Labda tujuzane kimiminika NI Nini?
Maana unaweza kukomaa kujibu swali ambalo NI tata