Recent content by lawyer

  1. L

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Naona nawe unahitajika kutoa maelezo ya ziada na uthibitisho wa maelezo yako unayosema Makandala ni fisadi na dikteta labda naweza kukubaliana nawe kama utakuwa na hoja za msingi. mimi sijashauri wanafunzi wafanye fujo na kuvinja majengo bali sioni kama hiyo ndo njia ya kudai yale wanayoyaona...
  2. L

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    mwafrika wa kike inaonekana kuna information unakosa kuhusu masuala yanayoendelea UDSM, Sidhani kama unadata za kutosha kuhusu huo uchaguzi wa DARUSO na maamuzi yaliyofikiwa, ungekubaliana nami kwamba hawana hoja ya msingi kama nilivyoeleza awali.
  3. L

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    wanafunzi wa UDSM hawana hoja yoyote ya msingi hadi kufikia kuomba msaada hapa JF. wanachokihitaji ni kufanya vurugu na kuharibu mali na kuhatarisha maisha ya watu kwa kurusha mawe. sidhani kama suluhu ya 'matatizo yao' wanayodai itafikia kwa kufanya hivyo.
  4. L

    Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?

    nakubaliana na wewe kwa hili. ufisadi wake uwekwe wazi ili tuuchambue na sio kuunganishaunganisha habari ya kuwa eti kwa sababu anafanya kazi IMMA na IMMA ilisajiri au waziri masha kachaguliwa kutoka hapo, binafsi nashindwa kuestablish huo ufisadi wake.
  5. L

    UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

    hakuna kitu kama hiki chuo kikuu chochote
  6. L

    Mhariri Mtendaji wa Gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea avamiwa na kumwagiwa tindikali akiwa ofisini kwake

    Mwana Halisi washambuliwa Saed Kubenea akiwa Muhimbili na Happiness Katabazi KATIKA tukio linaloweza kutafsiriwa kuwa jitihada za kutisha mhimili wa nne wa utawala, watumishi wawili wa gazeti la Mwana halisi, juzi walivamiwa na watu wasiojulikana, kutishwa...
  7. L

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    kweli hata mimi nafikiri hata picha moja jamani ya gari lililopata ajali ya mheshimiwa, wala picha baada ya ajari!!!! very interesting
  8. L

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Wengine, Mie naona kuna ukweli katik ahaya malalamishi ya Waislam.Ukisoma kitabu cha Dr. John Sivalo(Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania) utaona huyu Padre mkatoliki anazungumzia hili tatizo waziwazi.Hata Dr. Hamza Njozi(Mwembechai Killings and Political Future of Tanzania) nae analalamika...
Back
Top Bottom