Recent content by laun

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ukiporwa Taulo

    kimbia tu....
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka,mbunge wa Simanjiro na Eng Chambiri,mbunge wa Babati 215 siombali sana na mtajuta

    Chambiri huyo wa babati,ndo huyo huyo aliyekuwa mbunge wa Tarime.
  3. L

    JamiiForums Tanzania NOT FOR PROFIT COMPANY ndio nini!

    shughuli za msingi za kampuni hiyo hazijalenga katika kupata faida ,huduma kwanza ila wanaweza kupata kipato cha ziada ambacho huwa termed kama "excess of income over expenditure"
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwambie mbunge wako

    Mwambie mbunge wako "umeibaka demokrasia,umeubaka ustaarabu,umeibaka haki na umeshiriki kwa kiasi kikubwa katika ubadhirifu wa mali za wananchi masikini kwa kugeuza bunge mahali pa mipasho , matusi , kejeli na mijadala ambayo haina tija" Mwambie Mbunge wako "huna uwezo wa kujadili kushuka kwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    Kasema "camoooon F*ck U"
  6. L

    JamiiForums Tanzania Masikini Tanzania, huyu ndiye mfano halisi wa vijana wake wasomi...na wako wengi!

    Hapo anaongelewa chris lukosi bila kulinganishwa na mtu yeyote bali zimelinganishwa kauli zake, kama Slaa, Safari na mwingine yeyote alipindishapindisha kauli haialalishi uongo kuwa kweli....
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aidanganya kamati ya Bunge kuhusu Mapato TPA, Serukamba amuumbua!

    ongezeko la 72% bado anastahili pongezi ......
  8. L

    JamiiForums Tanzania Madaraja mapya kwa Mitihani ya Kidato cha nne ndo haya hapa!!!.

    Nimepitia kwenye website ya necta sijaona taarifa hiyo . Necta walishatangaza hawana official page ya facebook , na mojawapo kati ya page fake hizo ilitumika kutangaza tarehe ya kutoa matokeo kabla hayajatoka ndipo necta walipokana kuwa na page ya fb,sipingani na hiyo taarifa ila tuichukue kwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, unda tume kuchunguza NBAA!

    MBA hii hii ambayo iko kama njugu au ni MBA gani hiyo inayowakimbiza wahasibu
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

    source pliz.... According to citizen tv dakika hii ,Uhuru anaongoza katika summary results kwa kura 1,769,549; Raila ana 1,337,977
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    sasa hivi citizen wanaonyesha katika constituency 21 ambazo tume imetangaza ,Uhuru Kenyata anaongoza katika summary of prov. results, maeneo bunge mengi utofauti wa kura kati yao ni mkubwa ila katika aggregate bado uhuru anaongoza.
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Final presidential results to be announced on friday according to IEBC , kama kweli unaangalia citizen ndo kitu kinachoonekana kwenye mstari wa dondoo, ni OFFICIAL BUT NOT FINAL.
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    ni matokeo kutoka kwa baadhi ya constituencies, sio summary ya prov results, so this z not conclusive ila ni indication ya Raila kuja juu....ila mchuano bado ni mkali , no research no right to speak , cheki kwa tv yako ndo utajua ukweli. Mpaka dakika hii ni constit... 6 tu kati ya 290 ndo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mganga wa DIAMOND Ajitokeza

    huyu jamaa anatafuta watu wa kuwatapeli.....
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    tunashindwa kuacha uzinzi,wizi,rushwa ,uasherati ,ulevi ati tunaangaika na habari ya nani achinje huu ni upompompo. Tuombe Mungu wa kweli atujalie Busara katika kuamua jambo hili. Eeeh Mungu ibariki Tanzania.
Back
Top Bottom