Ahsante kwa ushauri wako ndugu,
kifupi nami ni mechanics
ila lengo nijiongeze na kwenye web ili inisaidie zaidi,
maana kuna siku nilifungua Filters za Benz moja hivi ni Actros 963-4D
sasa ilikuwa inshu kuachanisha mfunuko wake hiyo filter, na ukiandika youtube wanaleta sivyo,
ndo maana...
Habari wakuu
msaada wenu tafadhali
Ni Web gani nikiingia naweza jifunza utengenezaji wa gari,
hasa malori kama scania, volvo, mercedes benz, man, daf n.k?
Habarini wana jamvi,
naomba msaada, kwa anayefahamu program itakayo niwezesha kutafsiri kitabu ambacho nimeki download kwenye simu, kama ilivyo Google Translate.
Habarini wana Jf, na poleni na majukumu ya kila siku, naomba kufahamu, nimedownload kitabu kwenye simu yangu na nilikuwa nauliza kuna app inayotafsiri kitabu kama vile inavyofanya Google Translate?
Habarini wana JF na poleni na mjukumu ya kila siku
Leo naomba msaada kwa hili, nimepakua app ya Euro truck ya kwenye Android, ni apk
ila ninapoifungua inaniambia
There was a problem parsing the package
shida itakuwa wapi?
Habari Wana JF,
poleni na majukumu ya kila siku,
Nawaomba kwa yeyote anayefahamu link au namna ya kudownload
Euro truck simulator 2 for android,
anielekeze tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.