Recent content by laubeny

  1. L

    JamiiForums Tanzania Style ya kufanya tendo la ndoa ni Moja tu, hizo nyingine ni kujitafutia matatizo

    Sitaili zote hizo unazifamamu we noma
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sijalala kwa dk 1 NDANI ya siku mbili, nasikia sauti zinanisema na ukifika usiku zinaimba kwa sauti haulali na hautolala milele

    Pole sana mkuu nahisi una matatizo ya Akili ebu waone chapu watalamu au kwa siku ya Leo usilale hapo kwako uone hizo saut kama zitatokea Tena.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

    Utafaidika kwa kipi kama wakielimika
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

    🫢🫢
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

    Wew yaan njia za kupata pesa kirahisi uwe tajiri umeziandika mwenyewe alafu umeshindwa kuzitumia ukapata Hela ya kuprint je msomaji ataweza kweli kupata Hela kwa njia zako🫢🫢
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume tu

    😃😃😃
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume tu

    😃😃😃
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

    Daaah tumetoka mbali nakumbuka kipindi tuko vijana kama hujaivaa hiyo yaan utapambana had uipate
  9. L

    JamiiForums Tanzania Yanga hata wakisema Ile milioni 100 ilitoka GSM,kosa lao ni kujihusisha na siasa

    Subili uone mwisho wake ndo utajua yanga ni kubwa sana
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mjazano huu wa ndugu, sahau kabisa kuitwa tajiri

    Apo nikuwapa kazi za kufanya katiba biashara hiyo au kuwataftia kazi mahali pengine. na ukiwapa kazi wape mshahara ata kama ni kidogo mwisho wa siku nao watapata mtaji na sio kuwafukuza
  11. L

    JamiiForums Tanzania Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    Kweli kabisa
  12. L

    JamiiForums Tanzania Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    Ngoja tuone maamzi ya FIFA lakini ata CHADEMA nao wanamakosa kuingiria mambo ya mpira
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    Muombe msamaha mama kama huwezi kuzungumza nae tumia ndugu au rafiki zake wa karibu Nilishuhudia mama mmoja akimulaani Mtoto wake wa kike kua uzao wake watoto wa kike hawatazaa(waijukuu wake wa kike) na ikawa ivo
  14. L

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

    Umedaganya hapo
  15. L

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

    Sijawahi kuiba
Back
Top Bottom