Mwanaume wa hivyo kwangu ataendelea kula kuona tuu, hakuna sifa mbaya ninayoichukia kwa mwanaume kama kutokujua kupenda uwiii siwezi kukupa muda hata wakunisalimia hata namba ya simu sikupi kafie mbele
Hizo ni fikra finyu mno ingekuwa nikweli Nasibu na Wema wasingeachana au Nasibu na zarina je Ivan na Zari mbona huko kote pumba tuu na majina na majina yao yamepishana zaidi ya herufi 7
Nakwambia hivi wanaume msipojirekebisha mtasaidiwa sana mnatesa watoto watu kisaaa endeleeni kujifanya wababe mtafumania sana mtakufa na mapresha saana yaani
Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli
acha kujidanganya eti aniache vipi ndio namweka kwenye ramani mjini kwahiyo unazani wewe pekeyako ndio mwenye ramani hapa mjini wako pesa na ramani juu yaani anahongwa na ramani juu, wewe sio wife material wewe ni single maza material aka nyumba ndogo wadangaji upoooo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.