Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu nawapenda wanawake wa Kanda ya Kaskazini

King_Villa

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
575
378
Habari za wakati huu wakuu.

Mimi sio mzaliwa wa kanda ya kaskazini lakini kutokana na harakati za kimaisha tunapita mahali pengi sana na tunakutana na watu wengi.

Binafsi wakati wa kusaka maisha ya Mapenzi kutoka ujana mpaka saivi nahisi tunakutana na mapenzi ya aina nyingi lakini kwakusema ukweli wanawake wa kaskazini kama mpo humu kwanza mjipigie makofi maana asilimia kubwa ni wanawake mnaopenda kujiongeza yaani hamngojei tu pesa ya mwanaume mnapenda kutafuta nazakwenu .kiukweli mi nawaelewa sana na ile staili yenu ya kusaka life popote.

Mimi nimewapa asilimia 85 ya uhakika wa mwanamke wa kweli na mvumilivu .sijui wanaume wenzangu wanamaoni gani juu ya hili maana katika hali ya sasa hivi ukimpata mwanamke mwelewa kwenye upande wa kipato chako unatakiwa ukae nae sambamba.


Upungufu wao niliouona ni katika wakati wa kumpata tu.
Wengi wao wanakuwa wagumu sana hata ukimuoneshea unapesa kiasi gani anaweza akakutolea nje.

Pongezi kwenu wanawake wa Arusha na Kilimanjaro
Ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine.

Mungu awabariki muwe na moyo huohuo ila msivimbe kichwa sana .
 
Hata mm nawakubal ila NAWAOGOPA KINYAMAA.Yan duhh siwawez hata robo.Nikiwa chuo nilikua na gfrnd wa kichaga mzur sana na nilimpenda sana na alikua ananipenda mpaka keshoo mwaka wa 6 huu ila moyon nikawa najua kabisa hapa siwez kuji commit hata iwaje...thanks God aliolewa na mm nilishaoa kitambo .na hil likanipa aman atleat sijawawekwa kwe ye kapu la kumharibia maisha.Tuko peace mpaka leo.nawaogopa sana watu wa kanda hii.Sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom