Tatizo katiba mpya haiwezi kuletwa na Rais aliyeko madarakani peke yake. Jua yeye Rais anakuwa ameshakula vya kutosha na kushiba lakini wapambe waliyoko nyum yake wanakuwa bado hawajashiba hivyo hawawezi kumpa support kwenye hilo la kutaka kupoteza ulaji. Katiba mpya itagusa maslaji ya watu...
Habari wakuu.
Kinahitajika Chumba na Sebule cha kupanga jijini Dar es Salaam maeneo yoyote lakini upande wa Mbezi mpaka ubungo na njia ya Goba.
Budget ni laki moja kwa mwezi.
Karibu PM kwa mawasiliano
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.