Mtuache
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 260
- 712
Kifo hakina umri, hakichagui mtoto babu au kijana. Lakini ilishazoeleka kuwa wazee ndo hufariki sana kuliko rika lolote lile duniani.
Miaka ya hivi karibuni mambo yamekuwa tofauti sana, vijana wanakufa sana kuliko wazee. Ukifatailiwa trend ya misiba au idadi ya vifo mahospitalini utakubaliana na mimi
SWALI: JE, UNADHANI KWANINI SIKUHIZI VIJANA WANAKUFA SANA KULIKO WAZEE..?