Inategemea na maekezo ya tangazo husika kama wamekutaka uweke vyote ivyo weka kama wametaka utume CV tuu weka cv tuu so ni requirement ya tangazo jinsi inavosema
Wakuu habari hongera kwa waliopata nafasi na waliokosa wasife moyo wakati wa Mungu ni wakati sahihi , jaman mi nataka kuuliza mfano post ina comprise kada tofauti tofauti hapo maandalizi unasomaje? Mfano hizi post za WCF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.