Recent content by Last Seen

  1. Last Seen

    GE2025 Mwamposa achangia milioni 50 Kampeni za CCM Uchaguzi Mkuu 2025

    Huwezi kuusikia huu upuuzi kwa Mwakasege
  2. Last Seen

    Muanzilishi wa Telegram kuwagawia utajiri watoto wake 100

    Pavel Durov, Muamzilishi wa program ya Telegram, ameeleza kuwa atawawachia watoto zaidi ya 100 mali zake zenye thamani ya takriban shilingi trilioni 45. Alisema hayo katika mahojiano na gazeti la Ufaransa, Le Point. Durov, mwenye umri wa miaka 40 ambaye kwa sasa anaishi Dubai, alisema watoto...
  3. Last Seen

    Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Mkuu, Ulifika Dodoma au Hydom?
  4. Last Seen

    Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

    Air India ime crash 1.09🤣
  5. Last Seen

    Xabi Alonso Kocha Mpya wa Real Madrid

    Klabu ya Real Madrid imemtanganza Xabi Alonso kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo aliechukua mikoba ya Carlo Anceloti aliyehudumu klabuni hapo kwa muda mrefu. Xabi Alonso amesaini Mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi rasmi msimu ujao.
  6. Last Seen

    Nimeona uchi wa mama wa rafiki yangu.

    So? Point yako hapa ni ipi?
  7. Last Seen

    Stesheni kuu ya SGR Dodoma yabadilishwa jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu

    Umekuja kwa Hasira na Makasiriko mengi, Kawaulize TRC kwa nini wametoa Taarifa hii kipindi hiki, Ilikuwa inaitwa stesheni Kuu ya Dodoma, lakini kwa sasa imeongezwa jina la Mhe. Rais. Taarifa imeletwa kama ilivotolewa sasa Kijana unalalama nini?
  8. Last Seen

    Stesheni kuu ya SGR Dodoma yabadilishwa jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu

    Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma. Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
  9. Last Seen

    Rais Samia afuta sherehe za Uhuru, aagiza fedha zitumike kusaidia huduma za kijamii

    Kuhusu Mwenge wa Uhuru? Kwa nini usifutwe na gharama za kuukimbiza nchi nzima zisaidie/ziboreshe huduma za kijamii?
  10. Last Seen

    Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Tigo yabadili jina kuwa Yas Tanzania mabadiliko hayo yametangazwa Leo Kupitia mkutano wa Leo ulikuwepo live Instagram ya Tigo Tanzania na Kuhudhuriwa na Waziri wa habari Jerry Silaa.
  11. Last Seen

    Mimi niliaaply vyuo nikaconfirm IRDP nashangaa sasa nipo chuoni uku IRDP majibu ya mkopo yametoka mkopo umeelekezwa chuo cha CBE

    Kuhamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda kingine inawezekana, but inachukua muda, kama una uwezo wa kuvumilia miezi miwili au mitatu ya kusuburi mkopo uhamishiwe IRDP Anza registration kama huezi nenda CBE.
Back
Top Bottom