Recent content by Last one

  1. Last one

    TRA kwa hili mmekosea

    Kama ukirenew licence, ukigeuza kule nyuma muda wake huanzia ule muda wa leseni ya zamani. Mtoa mada hebu jaribu kuangalia vizuri leseni yako.
  2. Last one

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Uzi huu ukiwa mchangiaji wa mwisho basi wewe ndio mshindi.
  3. Last one

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kaliwa tena bila hiana
  4. Last one

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kocha mwenyewe tatizo ana kiburi, akishinda mechi moja tu basi tatizo linaanzia hapo.
  5. Last one

    Msaada kuhusu bima za magari

    Unadeal na agent, broker au directly na kampuni ya bima?
  6. Last one

    Msaada kuhusu bima za magari

    Mkuu commercial zina rates zake tofauti. Third party hawaangalii cc za gari tena kama zamani. Kwa sasa third party kwa private cars ni Tsh. 100,000 plus 18% VAT ko jumla inakuwa Tsh 118,000.
  7. Last one

    Msaada kuhusu bima za magari

    Karibu sana. Ila kwa ushauri zaidi kama unahitaji bima ni vizuri zaidi ukaenda kwenye ofisi ya agent, broker ama kwenye kampuni ya bima moja kwa moja. Achana na bima za uchochoroni kwa mtu ambaye hana hata ofisi, wengi wameuziwa bima feki, na ufeki wake unajulikana pale unapokuwa umepatwa na tatizo.
  8. Last one

    Msaada kuhusu bima za magari

    Nijuavyo mimi rates zilikuwa revised tangu tarehe 01 August 2015, na rate kwa gari binafsi ni 3.5% ya thamani ya gari plus 18% VAT
  9. Last one

    Msaada kuhusu bima za magari

    Gharama za bima zinaendana na matumizi ya gari lako. Je ni kwa ajili ya matumizi binafsi ama biashara? Na kama biashara, je ni la kubeba mizigo au abiria?
  10. Last one

    Ushauri: Tv kwenye open space kuangalia taarifa za habari

    Ndio anachomaanisha huyo 1954
  11. Last one

    Ushauri: Tv kwenye open space kuangalia taarifa za habari

    Itakuwa hata hawa watu wanaojazana kuangalia habari za Lowassa watakuwa wanalipwa kati ya sh. 5,000 na 10,000.
  12. Last one

    Mh. John Magufuli asababisha Kimbunga uwanja wa Jamhuri Morogoro Mjini

    Eeeh. Kuna watu ni mabingwa wa kajitoa ufahamu.
Back
Top Bottom