Ushauri: Tv kwenye open space kuangalia taarifa za habari

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Imekuwa kawaida kuona watanzania wakijaa vibandani, frame za biashara kuangalia za uchaguzi. Kwa kweli Lowassa anaangaliwa sana.

Nashauri wadau wenye vyama vyenu wapeni nafasi watanzania waendelee kufuatilia uchaguzi.
 
Sio kuangalia habari tu wanaangalia ITV. Ukjenda kwenye bar kubwa ikifika SAA mbili wanatune ITV habari za lowassa zikiisha watu haoooo...
 
Nilisikia na baadaye mimi mwenyewe kuona kumbe vile vipeperushi vya CHADEMA na LOWASSA vinavyobandikwa kwenye baadhi ya bodaboda, bajaji na daladala wahusika wa vyombo hivyo hulipwa kati ya sh. 5,000 na 10,000.
 
Itakuwa hata hawa watu wanaojazana kuangalia habari za Lowassa watakuwa wanalipwa kati ya sh. 5,000 na 10,000.
 
Nilisikia na baadaye mimi mwenyewe kuona kumbe vile vipeperushi vya CHADEMA na LOWASSA vinavyobandikwa kwenye baadhi ya bodaboda, bajaji na daladala wahusika wa vyombo hivyo hulipwa kati ya sh. 5,000 na 10,000.
Unataka kusema nini mzee wa TANU?
 
Huku kwetu kijijini huwa tnalipia sh.200 kuangalia habari za UKAWA Kuptia ITV
 
kama habari za ccm kupitia star tv wanaweza ingia watu wawili wengine wakaondoka,yaani hali ni mbaya sana,ccm ni kama imepigwa nuksi na laana ya mwenyez mungu na waasisi wa hicho chama
 
Back
Top Bottom