Msaada kuhusu bima za magari

Mahamud_2000

JF-Expert Member
Feb 8, 2014
200
99
Wadau wote salaam

Wenye ufahamu kuhusu gharama za bima za magari naomba kujuzwa kuwa makampuni ya bima wanatoza asilimia ngapi ya thamani halisi ya gari inayokatiwa bima,,,either iwe kwa comprehensive au third party.

Asante.
 
Sina uhakika kama wanaangalia thamani halisi ya gari ila nijuavyo mimi wanatumia CC. ya gari ku determine malipo halisi ya bima ya gari husika.
 
Gharama za bima zinaendana na matumizi ya gari lako. Je ni kwa ajili ya matumizi binafsi ama biashara? Na kama biashara, je ni la kubeba mizigo au abiria?
 
mahamud

Gari binafsi ni 3% ya thamani ya gari plus VAT[18%] kwa mwaka. Kama gari ni 20m then inakuwa 20,000,000*3%*1.18=708,000 per year.
 
Nadhani comprehensive wanakata kuanzia 3% market price ya gari lako....Nakumbuka nilivalue gari langu kwa 15milion nakaikatia comprehensive insuarance ya kama laki 4 na kidogo.
 
Nijuavyo mimi rates zilikuwa revised tangu tarehe 01 August 2015, na rate kwa gari binafsi ni 3.5% ya thamani ya gari plus 18% VAT
Well,mara ya mwisho nililipia bima 3% february 2015....3.5% ni commercial rate like rental cars
 
Nashukuru sana
Karibu sana. Ila kwa ushauri zaidi kama unahitaji bima ni vizuri zaidi ukaenda kwenye ofisi ya agent, broker ama kwenye kampuni ya bima moja kwa moja. Achana na bima za uchochoroni kwa mtu ambaye hana hata ofisi, wengi wameuziwa bima feki, na ufeki wake unajulikana pale unapokuwa umepatwa na tatizo.
 
Kwa sasa ni 3.5%plus vat, whether commercial or private ila ni lazima useme matumizi yake.

Kwa third party wanaangalia cc

Mkuu commercial zina rates zake tofauti.

Third party hawaangalii cc za gari tena kama zamani. Kwa sasa third party kwa private cars ni Tsh. 100,000 plus 18% VAT ko jumla inakuwa Tsh 118,000.
 
Kwa sasa ni 3.5%plus vat, whether commercial or private ila ni lazima useme matumizi yake.

Kwa third party wanaangalia cc
Anyway ngoja niulize maanake yangu inaisha 16 mwezi huu.....But im sure nitapata 3% tu.
 
Anyway ngoja niulize maanake yangu inaisha 16 mwezi huu.....But im sure nitapata 3% tu.
Tira wanakataza undercutting kwenye soko. Ukipewa kwa 3% jua wamevunja sheria na kama unapita kwa broker au agency usije kushangaa wakati wa claim insurer analeta figisu
 
Tira wanakataza undercutting kwenye soko. Ukipewa kwa 3% jua wamevunja sheria na kama unapita kwa broker au agency usije kushangaa wakati wa claim insurer analeta figisu
Mh sijui,nimewapigia sasa hivi kilichoongezeka ni VAT tu meaning 3% imebaki vile vile.
 
Tira wanakataza undercutting kwenye soko. Ukipewa kwa 3% jua wamevunja sheria na kama unapita kwa broker au agency usije kushangaa wakati wa claim insurer analeta figisu
Makampuni ya bima huwa hayataki kudeal na wateja moja kwa moja. Kwa hiyo ukienda kwenye kampuni moja kwa moja utapigwa rate kubwa kuliko ukienda kwa dalali (broker) au wakala (agent).
 
Back
Top Bottom