Recent content by Last Night

  1. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, Wanandoa wengi wameachana ila wanaishi nyumba moja

    Kwa macho ya kawaida utaona mke na mme wana furaha nje wanavyotembea na utasema hii ndio ndoa ya kuigwa ila usilolijua sawa na usiku wa giza. Wanandoa wengi wameachana ila wanaishi nyumba moja humo ndani wamegawana vyumba ila wanaogopa kutalikiana kwa sababu ya mali watagawanaje. Wanawake...
  2. Last Night

    JamiiForums Tanzania CRDB - Dodoma Badilikeni

    Na kigezo chao cha ukitaka kukopa uhamishie salary kwao kinaboa wabadilike.
  3. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    Wewe huwajui wajedaaa
  4. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    Pole sanaa
  5. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    Pole sana hahahhaa nimecheka balaa
  6. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]polen sana jaman
  7. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    Hahahahhaha jaman
  8. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    Pombe ndugu yangu acha tu
  9. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    Hahahhaa jaman wakiamua mpaka shem alitucharaza mm sina hamu
  10. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    Pole sana hawa watu hawanaga huruma hata kidogo
  11. Last Night

    JamiiForums Tanzania Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

    Habari wanajf hiki ndicho kilichonikuta kwenye mkesha wa x mas Uwiii Wanajeshi Hawa sio watu tupo mm na shoga angu tumetoka club uck akanambia nimsindikize kwake tukifika atamwambia mume wake anipeleke home. Mme wake wanausafiri wao basi tumerudi zetu tunaimba wimbo wa marioo Bia tamu hapo...
  12. Last Night

    JamiiForums Tanzania WanaJF umeshawahi ku-date na Mpenzi wa mtandaoni ilikuwaje?

    Wacha niwape story yangu kwanza. Nakumbuka huko Facebook nilipata mbaba mmoja hivi tukawa tunachati wee mwisho wa siku tukapanga tuonane. Basi tukatoka out tukaagiza kuku mzima ndizi tano na ugali juu. Mimi nikala ndizi moja na kama vipande viwili vya nyama basi yule baba akafukia ugali wote na...
  13. Last Night

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanaume...

    Hahaha hutak
  14. Last Night

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, huyu shemeji ananikwaza

    Ushimen kwenye ubora wkooo ....
Back
Top Bottom