Kilichofanyika mwaka jana ni kuangalia lasilimali watu wanapozwa ili madaraka yasiote mbawa mwaka huu hata watanzania wakiumia hawana pakujitetea ndio maana mabweni yamekua muhimu zaidi. ni kweli ingekua uchaguzi mwaka huu kungejengwa mabweni au wangeangaliwa raia wanataka nini?
100% nimeandika kwa kujionea mwenyenye jinsi mwaka jana serikali ilivyotoa mkopo kwa watanzania 48000 halafu mwaka huu 25000 unadhani kama sio uchaguzi wa mwaka jana ni ni sababu nyingine mdau
Mwaka huu serikali imetoa mkopo kwa wanachuo 25000 wakati mwaka jana waliwapa mkopo wanachuo 48000. je ni kwa sababu gani?
A;Zilikuwa mbwembwe za uchaguzi ili wapate kula.
B;Baada ya mwaka mmoja tu serikali imefilisika.
C;Watanzania wanatakiwa wafanye kazi tu.
D;Wanachuo wamekuwa wagumu kulipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.