Yanayotokea awamu hii ya tano, kuna watu hatutawasamehe

Tumeipenda wenyewe acha Waisome namba ahaa ahaa watu walijua wimbo unamuhusu Lowasa na Mbowe ambao walijijenga kiuchumi kitambo,Namba zinasomeka kwa wategemea biashara za ndani na wafanyakazi tehe tehe
bado sikuchachu tu mtaacha kuisoma namba kwani mwakani ni zoezi la kuiandika ndo litaanza.
 
Nashangaa watu wanavyosemaga eti wanamkumbuka, wanatamani arudi tena... Huwa najisemea moyoni watanzania wenzangu wana kumbukumbu fupi sana! Hivi hawajui nani aliyesababisha hili 'tatizo' tulilo nalo??

Wajua mtu hawezi kuwa mbaya kwa yote,lazima yawepo mazuri hata kama ni kwa uchache kiasi gani.
Kiukweli mimi pia kuna wakati namkumbuka na kusema bora yeye.

Ila kwa hili havuki kikombe cha lawama,nafikiri kwa mabaya yooooote aliyowahi kuyafanya hili ndilo kubwa zaidi.
Hili ni zaidi ya 'tatizo'.
 
CCM haina dini, wenye dini ni watu si chama, au chama chenu ni cha kidini?

*kule nnaona haujarudi kuweka mambo sawa, vipi?
Kwahiyo dini unaweka pembeni ukiwa ccm... au ccm haina matendo? Kule nimerudi na mim nashangaa mbona sipati majibu.
 
Malalamiko yamezidi sasa katika kila kona na nyanja mbali mbali za maisha. Kuanzia wafanyakazi serikalini, wafanyabiashara wakubwa na wadogo, wakulima, wavuvi, wasomi, wanafunzi na walimu, wanaume na wanawake na mifano ya hio.

Lakini kwanini yote haya?. Je, imekuja hali hii kwa bahati mbaya? kwangu mimi HAPANA.

Ndio hapana, kwa sababu hakukuwa na maandalizi juu ya Taasisi ya Uraisi huu ndio ukweli.

Wengine wanaiita ajali, wengine wataita kukosa weledi, wengine wanaita hulka ilimradi yote hayo yanarudi kwenye neno KUKOSA MAANDALIZI.

Kuna watu hatutawasamehe kwa haya.

- Wale walioshiriki kutumia nyadhifa zao kuchochea kuvurugwa taratibu za kumpata mgombea aliyeandaliwa kwa kujali mirengo yao na visasi- hatutawasamehe wote.

- Wale wote waliotumika kufanikisha mpango huo wa kumpata Mteule asiyeandaliwa.

- Wale wote waliodiriki kutumia rasilimali mbali mbali ili kufanikisha mpango uliokosa maandalizi.

- Wale wote waliotumika kushawishi na kuwaaminisha watanzania kuwa kibaya kitakuwa kizuri wakati wanajuwa hakuna maandalizi yaliyofanywa.

- Wale wote waliotumika kwa kufanya upendeleo wowote ilimradi mteule asiye maandalizi aweze kupita kwa urahisi siku ya uchaguzi kama wapo.

- Waandamizi wote na wazoefu wa mfumo(system) ambao walinyamaza hata pale taasisi iliyotwaa ushindi , ilivuruga taratibu kwa uwazi wakati wa kumpata mteule wao.

- Waandishi wote waliotumika na kuacha uweledi wa kazi zao ili kupotosha ukweli ilimradi mtu aliyekosa maandalizi ashinde.

Hayo ni maoni yangu, naamini watanzania wengi leo hii wanajuwa ukweli wa hili. Awamu ya tano ilikosa maandalizi kutoka awali na hiki kinachoendelea leo ndio natija yake.

Tujifunze lakini tusirudie makosa, hata hivyo waliotukosea watuombe radhi au hatutawasamehe.

Kishada
Mafisadi na bado, mtanyooka tu, mnalalama nini, bado miaka Tisa.
 
Kama wewe sio fisadi, mla rushwa na mpiga dili, hebu tuambie ni jinsi gani wewe umeathirika na utendaji kazi wa Rais Magufuli. Ni kwa namna gani hatua alizochukua Rais Magufuli zimekuathiri moja kwa moja na pengine utuambie wewe unajishughulisha na nini hasa katika kutafuta kipato cha kila siku. Ukitufafanulia namna ambavyo maamuzi ya utawala huu wa awamu ya tano yalivyokugusa moja kwa moja ndipo sasa tunaweza kuchangia hoja yako huku tukifahamu ni wapi hasa pa kuanzia. Tunaomba ufunguke mkuu bila kuficha chochote, hata kama umetumbuliwa wewe, au mkeo, au mjomba, baba, mama au shangazi, ama rafiki, wewe sema tu, tutachangia kuliko kulalama kijumla jumla tu.
 
Yule ambaye huwa analia mambo yanapokuwa magumu kwake.

Wajua mtu hawezi kuwa mbaya kwa yote,lazima yawepo mazuri hata kama ni kwa uchache kiasi gani.
Kiukweli mimi pia kuna wakati namkumbuka na kusema bora yeye.

Ila kwa hili havuki kikombe cha lawama,nafikiri kwa mabaya yooooote aliyowahi kuyafanya hili ndilo kubwa zaidi.
Hili ni zaidi ya 'tatizo'.
 
Hii serikali ya awamu hii imefail tayar...mi nilikuwa supporter lakin sion kama kuna kuishi kama malaika apa.....mkulu kachemsha kachemsha
 
Sijaona mtoto wa Nyerere kurithi, hali kadhalika kwa Mwinyi, Mkapa na Kikwete.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Tatizo umekariri usultan ni mtu kurithi, ukifananisha hivyo utakuwa na fikra kidogo sana! Kikundi cha watu wanaorithishana madaraka kwa sababu ya itikadi zao kuwa sawa, nao ni usultani mama! Sasa wewe ulieelimika hebu tuambie maana ya usultan ambayo umeipata shuleni ulikosoma!! CCM ni masultan, ila kwa kuwa umejitoa ufaham hutaki kusikia kabisa
 
Eti ukitaka kuvunjiwa biashara kama machinga wa mwanza chagua ccm ,ukitaka kupewa pikipiki kama vijana wa Arusha chagua CHADEMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom