Zaidi ya asilimia 91 wakosa mikopo KIU

Zaidi ya asilimia 91 wakosa mikopo KIU

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,739
Reaction score
5,703
Zaidi ya asilimia 91 ya wanafunzi wa elimu ya juu katika chuo cha Kampala International University(KIU) wakosa mikopo.

Chanzo: ITV.
 
kiu sio chuo wengi magraduate hovyo... serikali hatuko making kuhujumu vyuo cooperate nchini..... lecturers unadhani ni shida
 
kiu sio chuo wengi magraduate hovyo... serikali hatuko making kuhujumu vyuo cooperate nchini..... lecturers unadhani ni shida
100% uyu ata kuwa mwanafunzi wa UDSM
maana ndo mawazo yao AF kesho watajiita bora na vipanga..
 
Daaah tumia kikamilifu kikatio chako uchaguz ujao wasikushawishi kijinga mm nimeisha gundua ujanja wao.......ukibugi tu bodaboda utazisikilizia Atown tu....na mikopo utaisikia UDSM science pekee chaaooooh
 
Zaidi ya asilimia 91 ya wanafunzi wa elimu ya juu katika chuo cha Kampala International University(KIU) wakosa mikopo.

Chanzo: ITV.
Daah nipo chuoni, mkoani arusha,makumira university....o level nimesoma government,advance level government,mama yupo kijiji morogoro lugala,Baba nimeambiwa yupo ifakara morogoro,maisha yangu ya shule namtegemea mam na umri umeenda,Baba Mara ya mwisho kumuona ilikuwa darasa la tatu,....ada hapa Chuo kwa mwaka Ni milioni moja na nusu,nimepangiwa bachelor of education....na nilipata division two ya 11 advance level ....kumbuka hapa arusha ,nipo ugeni Ni bora ningekuwa Dar ningeenda mchikichini sokoni ukoko WA Mia tano au maandazi na maharage kwa wasambaa......daaah nalia Kila sikuu...njaa inanimaliza....naishi kama mwindaji chuoni....mkopo mkopo...nilitegemea mkopo....wezangu wanashangaa ninavyokonda...kumbuka bado cjasoma....Sijui wameangalia nini ktk utoaji WA mikopo....anayetoa mkopo kaangalia nini....nini thamani ya elimu yangu.....nimebembeleza nisajiliwe kwa pesa ndogo...namshukuru Mungu nimefani
 
Back
Top Bottom