Recent content by lasix

  1. L

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Usijali anza mapema utafika mbali,mi ningeanza wakati nna umri wako ningekuwa mbali sana ila hiyo elimu sikuwa nayo, kwa umri wangu najiona nimechelewa.So nakutia moyo usiache ukija kufika uzeeni utafurahia
  2. L

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Hongera mkuu,mi nimepambana nimefika 98M now.mfuko ni liquid fund.Kwa mwezi napata faida ya kama 900k au zaidi. Niko tempted kuitoa na kujeng nyumba za kupangisha ila nahofia kuanza upya savings as it wasn't easy.Nimeanza more than 4 years ago nimepambana kusave kwa machozi jasho na...
  3. L

    Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Me pia mpaka najionaga labda sijiamini au nin tatizo.Hata insta page yangu haina picha
  4. L

    Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage

    Halafu watu wabishi wanamuona huyu Dr mbaya wakati anachowaambia nj kwa faida yao
  5. L

    Najuta kuingalia video ya Joshua

    Nimeumia mnoooo Eee Mungu tuhurumie wape faraja familia ya Joshua[emoji24][emoji24][emoji24]
  6. L

    Najuta kuingalia video ya Joshua

    Nimeumia mnoooo Eee Mungu tuhurumie wape faraja familia ya Joshua[emoji24][emoji24][emoji24]
  7. L

    Ushauri kwa wanaume waliozaa nje ya ndoa

    Halafu unatengenezewa mazingira ujione una roho mbaya kwa kumkataa huyu mtoto.. Hivi mwanaume akiletewa yeye mtoto atajisikiaje?
  8. L

    Je, ni sahihi mke kuwekeza pembeni pasipo kumshirikisha mume wake?

    Mara nyingine haya mambo yanatokana na visasi,mfano kuna rafiki yangu alikuwa anampenda sana mumewe na alikuwa very loyal kwake.Kila kitu alikuwa open na pia alichangia sana mafanikio yao kiuchumi. Recently kaja kugundua mumewe ana mwanamke kazaa naye watoto 2 na anawahudumia. Kama ni wewe...
  9. L

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kama kuna mahali nimesoma mkuu Insider Man utaweka extra,naisubiri
  10. L

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kila mahali mama J amekuwa branded km mke hivi kuzaa na mtu na kutoa mahari ndo kashakuwa mke?
  11. L

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Daah na mimi hapo sikuelews kabisaa hata alivyoenda kuzika tena kwa confidence km ni mke rasmi.Labda km mzee Pama na mkewe wali divorce. Maana ni ngumu kuelewa hata gela alizogaiwa na vikundi tena mamilioni wakati she was just mchepuko.Unless kuna kitu hakijaweka wazi
Back
Top Bottom