Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
Sasa watu wanaweza kufanana kweli? Wote tungekuwa tunaitwa mtu basi sio watu.Unaongea kama umekatwa kichwa,eti wanawake hamna shida.Matukio yote haya tunayoyaona mitaani wanafanya akina nani?
Watu wana mengi, kila mmoja ya yake.