Recent content by Laser

  1. L

    Series (Special thread)

    Halafu unajua ile episode ya kwanza ilikuwa released net tu. Nadhani hiyo tarehe 24 ndo inakuwa televised then next jumatano ndo episode ya pili.
  2. L

    Series (Special thread)

    Antisocial ninayomaanisha hapo ni ya hapendi kuwa na watu. Socializing sio his thing.
  3. L

    Series (Special thread)

    Ni drug addict, loner, antisocial and kinda a genius; as he can read people, he's intelligent, he's very good at computers. Anaiona dunia in a way most people dont. Sio sociopath.
  4. L

    Series (Special thread)

    Jamaa SIO sociopath!!
  5. L

    Series (Special thread)

    Angalia Wayward Pines, The Whispers na Dark Matter.
  6. L

    OGwhatsapp ndio basi tena?

    Whatsapp waliwataka watengeneza unofficial apps zake waache mara moja. Na ziondolewe mitandaoni hasa hasa for security reason. Ikiwemo hiyo Og na plus. Walobahatika kuwa nazo ndo hao hao wanamalizia kujikongoja nazo mpaka zitakapo expire.
  7. L

    Who created God? Who made him? Where did he come from?

    Na wewe uliyeuliza hilo swali ukaamini kabisa hilo jibu utapewa humu. Kaa tulia ongea na Mungu wako au fuata unachokiamini wewe basi. Kila mtu atakujibu anavyoona yeye maana kila mtu anaamini atakacho yeye!!
  8. L

    Who created God? Who made him? Where did he come from?

    Hili jukwaa bana! Mnali-misuse kichizi. Nani aliwaambia Intelligence ni kuongelea mambo ya Mungu?!
  9. L

    Nani aliita SIMU 2000 pale Mawasiliano?

    Mi nikajua pameitwa simu2000 kama maana nyingine ya neno MAWASILIANO. Yaani huwezi kufanya mawasiliano kwa simu moja tu (utajipigia mwenyewe?!!), so ili mawasiliano yafanyike kuna uhitaji wa simu nyingi kwa kupasiana ujumbe tofauti tofauti ndo wakaamua kupaita SIMU2000!! Dahh kumbe nilikua mbali...
  10. L

    This is weird !

    Sio, ni line moja tu. Sasa sijui ni vipi hiyo.
  11. L

    This is weird !

    Za sahizi humu ndani? Naenda moja kwa moja kwenye point. Mimi niko tigo, nampigia mtu wa tigo halafu nakutana na hii kitu "Thank you for choosing Vodacom blah blah blah." Ni mara kadhaa sasa. Sasa hapo Voda wamehusikaje? Ni kwamba Voda wamenimiss au mitandao siku hizi wamekuwa marafiki...
  12. L

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Poleni aiseh!!
  13. L

    Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

    Wewe acha hizo wewe!! We unajuaje..je kama maisha ya sahivi ya baba ake ndo laana ya kumtelekeza dogo?! Acha watu wavune walichokipanda. Fanya yako tu.
  14. L

    Miss neddy just remember one thing

    Umezifanyia utafiti hizo hisia zako lakini?! Zisije zikawa tempo. Otherwise, keep the fire burning.
Back
Top Bottom