Recent content by Larusai Mux

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tujiandae na 'lock down' nyingine kubwa

    Ila Mshana, umeandika vizuri Ila hiyo $170 sijui umeipata wapi!, labda ndio maono maana pipa bado halijafika $120
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Hujui nilichomaanisha kulingana na ufinyu wa akili zako, toka nilipoanza hii biashara sijawahi acha , #utajiri ni imani
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Bado sijaona tajiri halisi mbongo kwenye hii biashara, watatoka mabilionea wachache Sana sababu the business is real na haiaminiki[emoji3] , mabilionea tutabaki kuwa wachache mno sababu utajiri ni imani , Umeshindwa kuiamini forex, amini utajiri wa makete njombe basi[emoji38][emoji38][emoji38]...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tuliounguza account za Forex trading

    Mkuu hongera kama umeweza kutoka kwenye real standard account na kurudi kwenye cent account, Psychologically ni ngumu sana kutoka kwenye real account kwenda cent au demo account hata kama umeunguza account 10! Maana kila ukikaa unaona kama pesa inakupita
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Hongera Ontario, hongereni wadau
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msukuma akwama polisi, mamia wamiminika mahakamani kumsubiri

    Rimoti inatoka bashite kingdom to geita, msukuma kaingia kwenye 18 za wakulu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Benfica na sunderland kachana mikeka ya watu, pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Mbeba maono Lissu aliona hili mapema na akaomba support japo mgome siku mbili! Leo sura za wasaliti wataficha wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Jana kama hukuungana na jirani yako basi leo pambana na hali yako! Jana IMMA walipovamia kama hukukemea na kuona lissu ni kimbelembele basi leo limetokea kwako au ndugu yako wakili wa Manji! Hapa ndipo utakapolia na kusaga meno na kumkumbuka mbeba maono Lissu. #watu wasiojulikana Sent using...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asee Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Aisee maisha ni kuchakarika Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Hongera kwa hatua nzuri mkuu, financial freedom is coming Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hongera kwa changamoto mkuu Ontario Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Trolling, flaming adimn fanyia kazi Post sent using JamiiForums mobile app
  15. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu dunia inazunguka Wakati Europe wanafunga soko Lao la pesa unakuta Australia wanafungua na Australia wakiwa wanafunga basi America wanafungua pia Kuna weekends masoko mengi hufungwa so kwenye mwingiliano wa hizo zones ndo zinaangukia j4,j5,alhamis ndo soko la pesa linafurahisha
Back
Top Bottom