Ndugu yangu hapo umeliwa, sio wewe peke yako unaefanyiwa wizi huo, wapo watu wengi wanapofika Bandarini Dar es salaam wanatozwa ushuru mkubwa wengine wanafika kusamehe mizigo yao, mm nakupa mfano hai, Rafiki yangu alinunua Fridge 2 za Used huko Zanzibar, zilifika Dar es Salaam, maafisa wa TRA...