Suluhu: 2/3 za Zanzibar zimepatikana

Suluhu: 2/3 za Zanzibar zimepatikana

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,198
Reaction score
27,822
Wakati nafuatilia uchambuzi wa magazeti kupitia RFA leo asubuhi, nimesikia gazeti/magazeti yakimnukuu makamu mwenyekiti wa bunge la katiba bi samia suluhu akisema kwamba 2/3 ya kura kutoka zanzibar zilizokuwa zikiwaumiza kichwa sasa zimepatikana. Ijapokuwa sikuweza kunasa gazeti lililoandika habari hizo, bila shaka itakuwa mojawapo ya magazeti ya chama au yale magazeti yanayoegemea chama.

Chanzo: RFA

MAONI YANGU
Baada ya UKAWA kuondoka Dodoma suala lililokuwa likiwanyima CCM usingizi ni akidi ya 2/3 kutoka Zanzibar. Kuna uhakika usiopingika kwamba wabunge 16 wanahitajika kutoka Zanzibar ili kutimiza akidi, na wadadisi wa mambo ya siasa wanatathmini kwamba kuna wajumbe 21 kutoka kundi la 201 ambao wanawaunga mkono UKAWA. Sasa hiyo akidi iliyotimia imetoka wapi? CCM watakuwa wamewanunua wajumbe wa UKAWA ili kutimiza akidi, hivyo viongozi wao wanapaswa kuwa makini na usaliti huu. Au huenda wamejiandaa kuchakachua kura ili kulazimisha akidi. Haiwezekani Suluhu aropoke tu bila kuwa na uhakika.

:israel:
 
Wakati itazinduliwa hii katiba inayoundwa na ccm, ndio itaanzisha harakati zingine za kudai katiba ya wananchi.
 
chezea ccm.wewe kila jambo laweza kutokea tatizo njaa pia ni mbaya sana hasa kwa hawa wajumbe
 
UKAWA walikuwa wanajifanya wajanja, waendelee tu "kushtaki kwa wananchi" ili wawape Katiba Mpya!
 
ccm wanakera sana kwa kulopoka uongo.hukumu yao inakuja
 
UKAWA walikuwa wanajifanya wajanja, waendelee tu "kushtaki kwa wananchi" ili wawape Katiba Mpya!

Mkuu, naona CCM sasa wamewazidi UKAWA kwa kujipanga kuchakachua kura za 2/3 kutoka Zanzibar. Kwa CCM kila kitu kinawezekana isipokuwa MAENDELEO.
 
Tuwaulize ni hesabu gani wanayotumia? Ili ipatikane hiyo 2/3 ni lazima kina Jussa na wenzake waingie ktk BMK bila ya hata mmoja kuondoka, wameipata kutokea kwa akina nani?
Mwaka huu Mtaimbo umewaganda.
 
Wakati nafuatilia uchambuzi wa magazeti kupitia RFA leo asubuhi, nimesikia gazeti/magazeti yakimnukuu makamu mwenyekiti wa bunge la katiba bi samia suluhu akisema kwamba 2/3 ya kura kutoka zanzibar zilizokuwa zikiwaumiza kichwa sasa zimepatikana. Ijapokuwa sikuweza kunasa gazeti lililoandika habari hizo, bila shaka itakuwa mojawapo ya magazeti ya chama au yale magazeti yanayoegemea chama.

Chanzo: RFA

MAONI YANGU
Baada ya UKAWA kuondoka Dodoma suala lililokuwa likiwanyima CCM usingizi ni akidi ya 2/3 kutoka Zanzibar. Kuna uhakika usiopingika kwamba wabunge 16 wanahitajika kutoka Zanzibar ili kutimiza akidi, na wadadisi wa mambo ya siasa wanatathmini kwamba kuna wajumbe 21 kutoka kundi la 201 ambao wanawaunga mkono UKAWA. Sasa hiyo akidi iliyotimia imetoka wapi? CCM watakuwa wamewanunua wajumbe wa UKAWA ili kutimiza akidi, hivyo viongozi wao wanapaswa kuwa makini na usaliti huu. Au huenda wamejiandaa kuchakachua kura ili kulazimisha akidi. Haiwezekani Suluhu aropoke tu bila kuwa na uhakika.

:israel:

Sikweli mkuu ni vile vikura vya baadhi ya kamati Naomba uelewe kuwa kura zitapigwa live tbc na startv na sio huko wanakojifungia fungia utaratibu wa kanuni zilizopo ni kura za dhahiri kila mjumbe wa bunge maalum ataitwa kwa jina na kujibu ndio au hapana huyu katibu au suluhu au lukuvi ni mavuvuzera yanapotosha
 
Mkuu, naona CCM sasa wamewazidi UKAWA kwa kujipanga kuchakachua kura za 2/3 kutoka Zanzibar. Kwa CCM kila kitu kinawezekana isipokuwa MAENDELEO.

uchakachuzi hakuna mkuu hayo maccm maongo kila kitu kitakua hadharani kila mjumbe ataitwa ni ataonekana km ni wa bara au zanzibar kanuni zinasema kila mjumbe ataitwa kwa jina atatumia fursa ya kujibu kwa sauti au kwenda mbl na ataonekana kuandika kura ya siri
 
Tusubiri maamuzi ya kamati kuu ya ccm leo usiku,mbichi na mbivu zitajulikana.Bila maridhiano hakuna katiba tusidanganyane,katiba bora inatokana na maridhiano ya makundi mbalimbali ya kijamii yanayokinzana na wala sio kwa ubabe na kujiona sisi ni wengi
 
Wakati itazinduliwa hii katiba inayoundwa na ccm, ndio itaanzisha harakati zingine za kudai katiba ya wananchi.

Kwenye nchi za Kiafrika Katiba ya Wananchi haipatikani kwa kujifungia ndani huku unabofya keyboard! Katiba inapatikana kwa mbinde yaani liwalo na liwe! Wananchi elfu 3 wenye moyo wanatosha kuwatimua Intarahamwe wasitunge udaku wao Dodoma.
 
Back
Top Bottom