Kura kupigwa hata Hijja

Kura kupigwa hata Hijja

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,548
Akiahirisha bunge kipindi hiki cha Asubuhi hii Mh Sita amewataka wajumbe wote watakaokwenda hijja kuwasilisha vielelezo vyote muhimu kwani hata wakiwa huko watapigia kura katiba itakayopendekezwa kwenye balozi zetu.

Nionavyo.....Sitta analazimisha mambo...mtu yupo kwenye ibada uanze kumsumbua na Kura...kweli majanga
 
Desperate times call for desperate measures! Sitta baba leta mupya ingine. More popcorn dear enjoy the show.
 
Akiahirisha bunge kipindi hiki cha Asubuhi hii Mh Sita amewataka wajumbe wote watakaokwenda hijja kuwasilisha vielelezo vyote muhimu kwani hata wakiwa huko watapigia kura katiba itakayopendekezwa kwenye balozi zetu.

Nionavyo.....Sitta analazimisha mambo...mtu yupo kwenye ibada uanze kumsumbua na Kura...kweli majanga
Hivi ukiwa hijja unakuwa na nafasi ya kufanya mambo mengine nje ya ibada iliyokupeleka huko?
 
Hivi ukiwa hijja unakuwa na nafasi ya kufanya mambo mengine nje ya ibada iliyokupeleka huko?

Sitta anataka kutia najisi ibada za watu.....sijui kwa nini analazimisha mambo namna hii
 
Sitta anataka kutia najisi ibada za watu.....sijui kwa nini analazimisha mambo namna hii
Lakini nafikiri tunamlaumu bure Sitta, sidhani kama he is in control. Nafikiri he is being instructed!
 
Lakini nafikiri tuna alums bure Sitta, sidhani kama he is in control. Nafikiri he is being instructed!

Hivi kanuni za bunge hili maalum zinaruhusu suala kama hilo? Even if he is being instructed can't he use his brain properly and come up with best decision?
 
Hivi ukiwa hijja unakuwa na nafasi ya kufanya mambo mengine nje ya ibada iliyokupeleka huko?

Kwa muislam muumini wa kweli hawezi kupiga kura akiwa hija huku akijua kuwa katiba yenyewe ni usaliti kwa watanganyika na wazanzibar kwa kuwa imechakachuliwa. Na je kuna kanuni yeyote inayoruhusu mtu kupiga kura akiwa katikati ya ibada? hizo zitakuwa kura kweli?
 
Kweli akili huna Mzee Sitta basi hata macho ya kuonea huna!!!? Hujui ya kwamba mtu akiwepo kwenye Ibada haruhusiwi kujishughulisha na chochote nje ya Ibada, hasa mambo haya ya kilimwengu? Huo Muda wa kupiga kura utaupata saa ngapi ilhali ibada ya Hijja ikianza haikusubiri ww ukapige kura. Kama hujui basi hata kuuliza unashindwa?? Ww hujui na kuuliza hutaki, huu wako ni Ujinga Mzee una Zeeka vibaya, Unakurupuka tuu Mzee wa watu.
Nadhani ni Muhimu kucheck afya ya akili yako.
 
Back
Top Bottom